Sallam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz

Sallam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz

Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
Wanakwambia 'Minding your own business is sometimes boring'.

So vibaya maana imeleta fursa mpya kwa watu, wametengeneza biashara kupitia UDAKU kama wengine walivyo capitalise kwenye mambo ya mapenzi.
 
Mara nyingi huwa ni kinyume chake.
Ukiona watu wsnakuongelea vibaya ujue huyo mtu hana utani na kazi.
Na watanzania ukiwabana na kukataa uzembe utaona wakilalamika.
Kwanza huyu Meneja uchwara ni Mkuda Kila aliyeondoka pale WCB anamuongelea Jamaa kwa Ubaya hakuna aliyewai kumuongelea kwa Uzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokukubali hukosekani kwa habari za WCB japokuwa unawachukia.

Hivi ile Alikibatv ipo channel namba ngapi DSTV.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Mimi Simchukii mtu

Hiyo ya kibatv aulizwe aliyeleta habari
 
Jibu rahisi ungenionesha post ambayo umewahi kuwaongelea vizuri.

Ila hapo hujanijibu.
Mkuu Niwaongelee Vizuri kwa Lipi Zuri? Mimi nachangia kutokana na mada iliyopo, sasa kama hakuna mada ya kuwasifia ni lazimishe, mimi siyo mtu wa kusifu na kuabudu kwa mapambio..

Juzi nimeleta mada kuhusu wasanii waliochini ya Lebo ya wcb kutokua na mashabiki mkala kona
 
Okay.
 
Mkuu Mimi Simchukii mtu

Hiyo ya kibatv aulizwe aliyeleta habari
Ahaa ila si shangai unajificha kwenye shamba la mchicha unazani hatukuoni.

We juzi kati si umezileta za chini ya kapeti kwamba kuna kionjo cha Single mpya ya Kiba,bila kusahau ulikuwa unaipromoti single mpya ya K2GA au sio ww nimekufananisha.

Wewe utakua unajua kuhusu AlikibaTv,ila kwa kuwa hupendi show off umeamua kukaa kimya.

😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom