sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.