Sallam SK: Mandonga usisindikize watu kwenye utajiri

Jamaa anafanya mpka kazi za promotion na hajui anatakiwa alipwe coz hiyo ni nje ya ring.
Sana, amefanya promotion kubwa sana ambapo alistahili ile promotion iwe na mkataba tofauti na ule wa pambano.
As the matter of fact promotion aliyoifanya alipaswa kulipwa zaidi ya alivyolipwa kwenye pambano.
 
Nitajie mmoja .narudia mmoja aliefanikiwa n'a ruge zaidi ya kinangwea kufa mapunda
Hilo swali muulize Pfunky maana hao akina ngwair walikuwa chini ya bongo records hawakuwa chini ya ruge.
And usisahau kuwa hata aliyemuunga sallam sk na diamond ni ruge. Ndiye aliyempgia simu sallam akamwambia kuna msanii anahitaji kufanya collabo na davido. Swali la kwanza sallam alimuuliza ana shilingi ngap. Na ruge hakutaka kuwa middleman, alimwambia nampa namba yako akupgie mwenyewe.
 
View attachment 2481966

Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.

Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Angemsaidia kwa kumwambia nini cha kufanya au ushauri mjaribu, afanye kwenye mikataba yake....
 
Itakuwa wazushi washampigisha mikataba ya kumpiga huyo jamaa, mshikeni mkono banah apate anacho stahili
 
Hilo swali muulize Pfunky maana hao akina ngwair walikuwa chini ya bongo records hawakuwa chini ya ruge.
And usisahau kuwa hata aliyemuunga sallam sk na diamond ni ruge. Ndiye aliyempgia simu sallam akamwambia kuna msanii anahitaji kufanya collabo na davido. Swali la kwanza sallam alimuuliza ana shilingi ngap. Na ruge hakutaka kuwa middleman, alimwambia nampa namba yako akupgie mwenyewe.
Nilichoelewa mchango wa ruge et ni kumuunga Salaam na diamond. Upuuz huo
 
View attachment 2481966

Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.

Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
 
Mambo ya Saida malori...aangalie sana asijekuwa kama pierce kiki zina muda wake
 
View attachment 2481966

Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.

Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Kuna ujumbe anafikisha hapo au wakulungwa hamjamuelewa???
 
Back
Top Bottom