Sallam SK: Mandonga usisindikize watu kwenye utajiri

Sallam SK: Mandonga usisindikize watu kwenye utajiri

Nachokiona mandoga anapata Sana kiduchu wakati yeye ndio anafanikisha high tension show nzima...Aamke asisale otherwise atanufaisha watu wengi Sana .mwisho wa siku umaarufu utashuka ndio kwisha habari...
 
Mimi ninamkubali Mandonga kwenye uchaguzi tu wa mabondia anaotaka kupambana nao!

Siku zote kipaumnele chake ni wale mabondia wazuri wa zamani/wenye umri mkubwa kama yeye.
Hata tyson alikua anakwepeshwa kupigana na kina lewis na evander mda mref tu ili asiharibiwe career yake... Ma manager wanajua wnaachofanya.. ndomana hata mwakinyo hakubal kupigana hovyo hovyo. Its a showbizz
 
Angekuwepo marehemu Ruge angekuwa ashaingia front kumsimamia Mandonga ili wote wanufaike jamaa alikuwa kichwa sana.
Kichwa wapi babu,mbona wew umeweza kuwa na wazo km hilo la kumsimamia Ndonga boy? exposure na akili ni vitu viwili tofauti.
 
Wamuite wampe somo na muongozo. Inshort Wamsaidie namna ya kufanikiwa kwa Career yake sio kumpongeza na kumdhihaki at-the same time na wakati muda ndo huu wanaweza kumfanya akae kwenye reli na afikie target zake kiurahisi.
 
View attachment 2481966

Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.

Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Journalists wengi wa Kenya wanadai karibu 50% waliingia kumuona Mandonga bado ikawa kuona live walikuwa wanalipa pia, tatizo ni kwamba pambano lake lilikuwa ni la kusindikiza ila ikabadilishwa baadaye baada ya kuonekana media zote kuanzia KTN mpaka online TV hype ilikuwa ni Mandonga ndipo ikabadilishwa na pambano la Mwamba wa SUGUNYO kuwa ndiyo main event.
Nadhani lazima atakuwa na watu wanaojua biashara vizuri, alinde brand yake yaani hata slogans zake asiwe anazitoa kiboyaboya kwani na zenyewe ni biashara pia, asiwe cheap kufanya interviews za bure hovyohovyo.
It's about time apate management inayojua kukuza na kulinda na kuongeza thamani ya brand, atakaporudi tena Kenya(nasikia kaalikwa tena April kwa pambano) the hype will be more than double ya mara hii.
 
Jamaa anafanya mpka kazi za promotion na hajui anatakiwa alipwe coz hiyo ni nje ya ring.
 
Back
Top Bottom