sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Atapiga hela kwenye uchaguzi, CCM wanamlia timing tuView attachment 2481966
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Inaonekana wewe ni wale washikaji wanapenda sana siasa na wanasiasa 😂😂😂Atapiga hela kwenye uchaguzi, CCM wanamlia timing tu
Salam jamaa ni mzee WA plan sanaSallam Sk jitu la mipango
Dah!
Basi aandae jingine la CongoDR au Uganda/Burundi angalau atoke hata na M50, na pia promo anazofanya ziwe kipengele tofauti na ulingoni. Ilipwe kivyake
Mandonga anachojali ni sifa na umaarufu. Pesa kwake sio muhimu [emoji23]View attachment 2481966
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Huyu watu wanamtumia wanajipigia hela tu asipokuwa makini ataishia kupewa gari crown tuView attachment 2481966
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Kamchana ukweli sasa hapo akili kumkichwaSallam Sk jitu la mipango
Namba moja na mbili ni nani?supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga
Probably Samatta yupo kwenye hiyo top three ya mleta uzi.Namba moja na mbili ni nani?
Chama,feitotoNamba moja na mbili ni nani?
Nitajie mmoja .narudia mmoja aliefanikiwa n'a ruge zaidi ya kinangwea kufa mapundaAngekuwepo marehemu Ruge angekuwa ashaingia front kumsimamia Mandonga ili wote wanufaike jamaa alikuwa kichwa sana.
Angekuwepo marehemu Ruge angekuwa ashaingia front kumsimamia Mandonga ili wote wanufaike jamaa alikuwa kichwa sana.