Sana, amefanya promotion kubwa sana ambapo alistahili ile promotion iwe na mkataba tofauti na ule wa pambano.Jamaa anafanya mpka kazi za promotion na hajui anatakiwa alipwe coz hiyo ni nje ya ring.
Hilo swali muulize Pfunky maana hao akina ngwair walikuwa chini ya bongo records hawakuwa chini ya ruge.Nitajie mmoja .narudia mmoja aliefanikiwa n'a ruge zaidi ya kinangwea kufa mapunda
Sanaa ya ulevi.Hivi piere liquid alikua ni msanii wa sanaa gani?
Angemsaidia kwa kumwambia nini cha kufanya au ushauri mjaribu, afanye kwenye mikataba yake....View attachment 2481966
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Hakuna kusaidiana kwenye hela kuna kufanya kazi pamoja kila mtu apate.Angemsaidia kwa kumwambia nini cha kufanya au ushauri mjaribu, afanye kwenye mikataba yake....
Nilichoelewa mchango wa ruge et ni kumuunga Salaam na diamond. Upuuz huoHilo swali muulize Pfunky maana hao akina ngwair walikuwa chini ya bongo records hawakuwa chini ya ruge.
And usisahau kuwa hata aliyemuunga sallam sk na diamond ni ruge. Ndiye aliyempgia simu sallam akamwambia kuna msanii anahitaji kufanya collabo na davido. Swali la kwanza sallam alimuuliza ana shilingi ngap. Na ruge hakutaka kuwa middleman, alimwambia nampa namba yako akupgie mwenyewe.
View attachment 2481966
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio ameibeba show.
Kuna ujumbe anafikisha hapo au wakulungwa hamjamuelewa???View attachment 2481966