Salma Kikwete: Majaliwa hakutimiza ahadi ya kujenga barabara ya lami, Serikali ina mpango gani?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5?

Serikali: Kwanza nimpongeze sana Salma Kikwete kwa kazi kubwa ya kuwasemea wananchi wa jimbo la Mchinga, Naomba nimuhahakikishie mbune kwamba ahadi za viongozi wetu wa kitaifa ni kipaumbele katika bajeti zetu, na tayari tunatambua kwamba kuna ahadi ya barabara kiwango cha lami katika kata ya Milola kilomita 4.5 naomba nikuhahakishie tayari serikali inaendelea na taratibu za kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo kwa awamu ili kutimiza ahadi ya Waziri Mkuu mstaafu lakini pia ikiwa ni dhamira ya serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan.
 
Yaani omba mungu ukose mali Iła upate akili, hawa watu wamejilimbikizia mali na mavyeo lukuki ila kichwani ni hazimo. Imagine huyu ajuza anasahau kwamba kiongozi wa serikali bado ni yule yule Bibi Tozo, katelephoni alikuwa mratibu wa shughuli za serikali ya Samuya bungeni, hata akitajwa leo inamsaidia nini yeye bibi Salima, mwenye dhamana bado ni yule yule bibi tozo mwenye maigizo zaidi ya Nina, kibaraka wa mumewe!. Serikali ya familia hi ni vituko tu mpaka kichefuchefu.
 
Kwani huko nyumbani kwake hamuulizi mumewe aliyekuwa Rais kabisa?
 
Yaani omba mungu ukose mali Iła upate akili, hawa watu wamejilimbikizia mali na mavyeo lukuki ila kichwani ni hazimo. Imagine huyu ajuza anasahau kwamba kiongozi wa serikali bado ni yule yule Bibi Tozo, katelephoni alikuwa mratibu wa shughuli za serikali ya Samuya bungeni, hata akitajwa leo inamsaidia nini yeye bibi Salima, mwenye dhamana bado ni yule yule bibi tozo mwenye maigizo zaidi ya Nina, kibaraka wa mumewe!. Serikali ya familia hi ni vituko tu mpaka kichefuchefu.

its all about power na wala siyo hela, uraisi wao ulipangwa na kupiganiwa kwa muda mrefu sana sasa wameupata hawataki kuupoteza, umebeba maslahi ya "muslim community" ambao waliona sasa wakati wao umefika wa kuichukua nchi, hivyo kuna dalili kwamba nchi inakwenda upande mwingine na kutakuwa na raisi mwingine soon or later ambaye hata kuwa from "the community", hapo ndipo tifu lilipo.

na siyo sijui br ya km ngapi hiyo br kama ni kweli aliitaka ingeweza kujengwa hata kesho tu, lkn its bigger that that ...
 
Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5?

Serikali: Kwanza nimpongeze sana Salma Kikwete kwa kazi kubwa ya kuwasemea wananchi wa jimbo la Mchinga, Naomba nimuhahakikishie mbune kwamba ahadi za viongozi wetu wa kitaifa ni kipaumbele katika bajeti zetu, na tayari tunatambua kwamba kuna ahadi ya barabara kiwango cha lami katika kata ya Milola kilomita 4.5 naomba nikuhahakishie tayari serikali inaendelea na taratibu za kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo kwa awamu ili kutimiza ahadi ya Waziri Mkuu mstaafu lakini pia ikiwa ni dhamira ya serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan.
Imagine kama taifa tunaohitaji maendeleo kwa kuwaweka bungeni watu kama salma kikwete, wannu n.k
 
Yaani omba mungu ukose mali Iła upate akili, hawa watu wamejilimbikizia mali na mavyeo lukuki ila kichwani ni hazimo. Imagine huyu ajuza anasahau kwamba kiongozi wa serikali bado ni yule yule Bibi Tozo, katelephoni alikuwa mratibu wa shughuli za serikali ya Samuya bungeni, hata akitajwa leo inamsaidia nini yeye bibi Salima, mwenye dhamana bado ni yule yule bibi tozo mwenye maigizo zaidi ya Nina, kibaraka wa mumewe!. Serikali ya familia hi ni vituko tu mpaka kichefuchefu.
Mbona hapa inaonekana wewe ndo huna akili ndugu yangu?!! Punguza chuki dada, utakaukiwa na maziwa ushindwe kunyonyesha.
 
Haters wa Samia bwana, tayari washabadilishiwa CD tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona hapa inaonekana wewe ndo huna akili ndugu yangu?!! Punguza chuki dada, utakaukiwa na maziwa ushindwe kunyonyesha.
Sio mbaya, wewe nakupotezea tu, maana naona baada ya nyeyti za bi-mkubwa wako kuguswa ushanyegeka na wewe, hata sina hamu tena ya kumkojoza mwingine, inamtosha bi-mdanga ako.. we kojoa mwenyewe ukalale.
 
Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5?

Serikali: Kwanza nimpongeze sana Salma Kikwete kwa kazi kubwa ya kuwasemea wananchi wa jimbo la Mchinga, Naomba nimuhahakikishie mbune kwamba ahadi za viongozi wetu wa kitaifa ni kipaumbele katika bajeti zetu, na tayari tunatambua kwamba kuna ahadi ya barabara kiwango cha lami katika kata ya Milola kilomita 4.5 naomba nikuhahakishie tayari serikali inaendelea na taratibu za kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo kwa awamu ili kutimiza ahadi ya Waziri Mkuu mstaafu lakini pia ikiwa ni dhamira ya serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan.
Why anavaa nguo kama yupo msibani

Halafu anaongea vibaya

Nasikia alikuwa mwalim
 
Kibibi mbumbumbu na punguani kisichokielewa wala hakifahani nini cha kuongea na wakati gani wa kuongea. Anadhani Majaliwa anatoa pesa zake mfukoni? Kalishwa pumba kwa chepuko wake anakuja 'front' kumuaibisha mmewe.
 
Back
Top Bottom