Kwani huko nyumbani kwake hamuulizi mumewe aliyekuwa Rais kabisa?Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5?
Serikali: Kwanza nimpongeze sana Salma Kikwete kwa kazi kubwa ya kuwasemea wananchi wa jimbo la Mchinga, Naomba nimuhahakikishie mbune kwamba ahadi za viongozi wetu wa kitaifa ni kipaumbele katika bajeti zetu, na tayari tunatambua kwamba kuna ahadi ya barabara kiwango cha lami katika kata ya Milola kilomita 4.5 naomba nikuhahakishie tayari serikali inaendelea na taratibu za kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo kwa awamu ili kutimiza ahadi ya Waziri Mkuu mstaafu lakini pia ikiwa ni dhamira ya serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan.
Yaani omba mungu ukose mali Iła upate akili, hawa watu wamejilimbikizia mali na mavyeo lukuki ila kichwani ni hazimo. Imagine huyu ajuza anasahau kwamba kiongozi wa serikali bado ni yule yule Bibi Tozo, katelephoni alikuwa mratibu wa shughuli za serikali ya Samuya bungeni, hata akitajwa leo inamsaidia nini yeye bibi Salima, mwenye dhamana bado ni yule yule bibi tozo mwenye maigizo zaidi ya Nina, kibaraka wa mumewe!. Serikali ya familia hi ni vituko tu mpaka kichefuchefu.
Imagine kama taifa tunaohitaji maendeleo kwa kuwaweka bungeni watu kama salma kikwete, wannu n.kSalma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5?
Serikali: Kwanza nimpongeze sana Salma Kikwete kwa kazi kubwa ya kuwasemea wananchi wa jimbo la Mchinga, Naomba nimuhahakikishie mbune kwamba ahadi za viongozi wetu wa kitaifa ni kipaumbele katika bajeti zetu, na tayari tunatambua kwamba kuna ahadi ya barabara kiwango cha lami katika kata ya Milola kilomita 4.5 naomba nikuhahakishie tayari serikali inaendelea na taratibu za kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo kwa awamu ili kutimiza ahadi ya Waziri Mkuu mstaafu lakini pia ikiwa ni dhamira ya serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan.
Vita ya urais, wameshanuaandaa riz1Hivi alishindwa kuomba hiyo barabara ijengwa bila kumtaja Majaliwa?
Huyu mama nadhani kuna tatizo mahali si bure mkuu.Hivi alishindwa kuomba hiyo barabara ijengwa bila kumtaja Majaliwa?
Mbona hapa inaonekana wewe ndo huna akili ndugu yangu?!! Punguza chuki dada, utakaukiwa na maziwa ushindwe kunyonyesha.Yaani omba mungu ukose mali Iła upate akili, hawa watu wamejilimbikizia mali na mavyeo lukuki ila kichwani ni hazimo. Imagine huyu ajuza anasahau kwamba kiongozi wa serikali bado ni yule yule Bibi Tozo, katelephoni alikuwa mratibu wa shughuli za serikali ya Samuya bungeni, hata akitajwa leo inamsaidia nini yeye bibi Salima, mwenye dhamana bado ni yule yule bibi tozo mwenye maigizo zaidi ya Nina, kibaraka wa mumewe!. Serikali ya familia hi ni vituko tu mpaka kichefuchefu.
Sio mbaya, wewe nakupotezea tu, maana naona baada ya nyeyti za bi-mkubwa wako kuguswa ushanyegeka na wewe, hata sina hamu tena ya kumkojoza mwingine, inamtosha bi-mdanga ako.. we kojoa mwenyewe ukalale.Mbona hapa inaonekana wewe ndo huna akili ndugu yangu?!! Punguza chuki dada, utakaukiwa na maziwa ushindwe kunyonyesha.
We hate her with all our energies, and don't give the F at the same time.Haters wa Samia bwana, tayari washabadilishiwa CD tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣
So sorry for you, it's a misuse of hateWe hate her with all our energies, and don't give the F at the same time.
Why anavaa nguo kama yupo msibaniSalma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5?
Serikali: Kwanza nimpongeze sana Salma Kikwete kwa kazi kubwa ya kuwasemea wananchi wa jimbo la Mchinga, Naomba nimuhahakikishie mbune kwamba ahadi za viongozi wetu wa kitaifa ni kipaumbele katika bajeti zetu, na tayari tunatambua kwamba kuna ahadi ya barabara kiwango cha lami katika kata ya Milola kilomita 4.5 naomba nikuhahakishie tayari serikali inaendelea na taratibu za kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo kwa awamu ili kutimiza ahadi ya Waziri Mkuu mstaafu lakini pia ikiwa ni dhamira ya serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan.
Kibibi mbumbumbu na punguani kisichokielewa wala hakifahani nini cha kuongea na wakati gani wa kuongea. Anadhani Majaliwa anatoa pesa zake mfukoni? Kalishwa pumba kwa chepuko wake anakuja 'front' kumuaibisha mmewe.Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5?