Salma Kikwete: Majaliwa hakutimiza ahadi ya kujenga barabara ya lami, Serikali ina mpango gani?

Mumewe alifanya nini
 
Mbona hapa inaonekana wewe ndo huna akili ndugu yangu?!! Punguza chuki dada, utakaukiwa na maziwa ushindwe kunyonyesha.
Comparing post ya unayedai hana akili na hii ya kwako, it's obvious hata tafsiri ya neno akili hauifahamu. Instead of hitting the nail on the point unaandika mipasho ambayo ni irrelevant huku ukishindwa kwenda sambamba na mada husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…