Pole kwa yaliyokusibu.
Kila la kheri kwenye kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya.
Nashukuru Mama wa Haja,
Kila la kheri nawe,
Nilitaka kujisahau kujipendekeza kwako kama nilivyojipendekeza kwa Salome nikakumbuka kilichonikuta,
Ninyi wanawake wazuri tena wamama wa haja sio lelemama,
Sio ukikaa sio ukiinama, utamu nje nje siye kutazama
Shenzi wanawake wote wazuri
Wee acha tuu, nilikuwa naongea na Salome wiki illiyopita alijaribu kuniomba radhi akitaka nimuoe lakini nimekataa
Wee acha tuu, nilikuwa naongea na Salome wiki illiyopita alijaribu kuniomba radhi akitaka nimuoe lakini nimekataa
Salome anayekuomba msamaha vs salome wa simuliziView attachment 1651575