Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

Mwaka 2012 kulikuwa na Alphad hii aina ya gali hii ilitoka mwaka 2012 mhhh sawa kiongozi endelea?
[emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20201216-210912.jpg
 
Kwenye apartment za washua Kumbe kuna Hadi (karungu yeye).
eti wakati mnatoroka mkanyonyana denda aaah asee
 
Kwenye apartment za washua Kumbe kuna Hadi (karungu yeye).
eti wakati mnatoroka mkanyonyana denda aaah asee
Hatari sana. Kama star kwenye movie, walipofika tu maeneo ya kushukia jamaa wakaja kwa kasi. Alitoroshwa kupitia handaki na ni usiku ila walinzi hawakuwaona wala gari iliyokuwa inawasubiri nje.
 
Mimi demu akiwa mzuri,huwa sinaga haraka nae,ingawaje mwil husisimuka Mara nying huwa nasubir ajlengeshe mwenyew
 
Back
Top Bottom