Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

Kuna viitu vingine vya kijinga kijingaaaa.Nimeishia ku skip skip
 
Si mtaalam sana wa Magari ila sina uhakika mwaka 2012 Alphard na Harrier tako la nyani zilikua zishaingia mjini Dar

Ila si wakishua inawezekana 0km zilikua
Harrier zilikuwepo tangu 2009 ila hazikuwa popular but alfard ilikuwa bado

BTW hii Ni chai Tena Ni CHAI BORA
 
Pole sana... Ila kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi, watakuja kusema hizi chai...




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom