GE2025 Salome Makamba afyekelewa mbali na wajumbe, ubunge viti maalumu, Shinyanga mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Huu mwaka mtamu sana, Hawa covid-19 ,walikuwa na jeuri aswaa. Huyu Lissu alipodai reforms alimtukana sana bungeni Ili aonekane.

Na alijiapiza Kwa jeuri kuwa atarudi bungeni.

Leo amefyekelewa mbali na wajumbe wa CWT. Bunge ataliona kwenye TV.

Nawasubiri wajumbe wafyekele mbali hawa watu, na hakika hawatoboi.

Ester Bulaya
Ester Matiko
Waitara
Molell wa Siha
Silinde
Nasari
Nusrat Hanje

Nileteeeni wajumbe
 
Kwani waitara SI kapigwa chini?
 
"Nileteeeni wajumbe" noma sana
 
Marope mwaka huu wao😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…