GE2025 Salome Makamba afyekelewa mbali na wajumbe, ubunge viti maalumu, Shinyanga mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CHAUMMA ponapona yao wapate asilimia Tano ya kura za urais na ubunge. Ili angalau wapate wabunge wa viti maalum hata watano. Ila bila hivyo watapoteana. Kwa uchaguzi huu hata Jimbo moja hawapati kwa bara na visiwani.
Samia ataona aibu so atawapa ata 10%
 
Huu mwaka mtamu sana, Hawa covid-19 ,walikuwa na jeuri aswaa. Huyu Lissu alipodai reforms alimtukana sana bungeni Ili aonekane.

Na alijiapiza Kwa jeuri kuwa atarudi bungeni.

Leo amefyekelewa mbali na wajumbe wa CWT. Bunge ataliona kwenye TV.

Nawasubiri wajumbe wafyekele mbali hawa watu, na hakika hawatoboi.

Ester Bulaya
Ester Matiko
Waitara
Molell wa Siha
Silinde
Nasari
Nusrat Hanje

Nileteeeni wajumbe
Jina la mwisho limemponza.
 
Endelea kujipa moyo,,bila Chadema uchaguzi huu umedoda aswaa
Utakuwa bado kijana sana. CUF walisusia uchaguzi Zanzibar lakini CCM haikuona aibu kutawala kwa miaka mitano bila CUF. Na CUF ya wakati ule ilikuwa inakubalika Zanzibar kuliko Chadema ya leo inavyokubalika Bara. Kwa kifupi, hata udode vipi wanachojali CCM ni kutangazwa mshindi. Na kwa miaka mitano inayofuata watashika dola. Huo ndio ukweli wenyewe.

Amandla...
 
The Mafia, Godfather... sukuma kete hio mkuu Amanda
 
Nasubiri kuonaaa mnakimbilia wapi makapi nyie
 
Huu mwaka mtamu sana, Hawa covid-19 ,walikuwa na jeuri aswaa. Huyu Lissu alipodai reforms alimtukana sana bungeni Ili aonekane.

Na alijiapiza Kwa jeuri kuwa atarudi bungeni.

Leo amefyekelewa mbali na wajumbe wa CWT. Bunge ataliona kwenye TV.

Nawasubiri wajumbe wafyekele mbali hawa watu, na hakika hawatoboi.

Ester Bulaya
Ester Matiko
Waitara
Molell wa Siha
Silinde
Nasari
Nusrat Hanje

Nileteeeni wajumbe
Ccm oyeeee
Makambaaaa oyeee
 
Utakuwa bado kijana sana. CUF walisusia uchaguzi Zanzibar lakini CCM haikuona aibu kutawala kwa miaka mitano bila CUF. Na CUF ya wakati ule ilikuwa inakubalika Zanzibar kuliko Chadema ya leo inavyokubalika Bara. Kwa kifupi, hata udode vipi wanachojali CCM ni kutangazwa mshindi. Na kwa miaka mitano inayofuata watashika dola. Huo ndio ukweli wenyewe.

Amandla...
Ulikua unaambiwa tu Vito Corleone umeelewa nini Amanda?
 
Ipo wapi?. Maana kwa vyama vinavyo shiriki uchaguzi ni CCM tu ndio inasikika.
Basi unaangalia kwengine. Chaumma inajijenga katika grassroot level. Wako sana. Strategy yao ni tofauti na ya CHADEMA na CCM.

Amandla...
 
Utakuwa bado kijana sana. CUF walisusia uchaguzi Zanzibar lakini CCM haikuona aibu kutawala kwa miaka mitano bila CUF. Na CUF ya wakati ule ilikuwa inakubalika Zanzibar kuliko Chadema ya leo inavyokubalika Bara. Kwa kifupi, hata udode vipi wanachojali CCM ni kutangazwa mshindi. Na kwa miaka mitano inayofuata watashika dola. Huo ndio ukweli wenyewe.

Amandla...
Ulikua unaambiwa tu kuhusu Corleone Family umeelewa nini hapo Amanda?
 
The Mafia, Godfather... sukuma kete hio mkuu Amanda
Ni ukweli mtupu. Chaumma wako sahihi wanaposema kuwa ukimsusia ubwabwa CCM ataula wote. Na sio CCM peke yake. Chama chochote cha siasa kikipata fursa hiyo kitafanya hivyo hivyo.

Amandla...
 
Back
Top Bottom