Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Watu hawajui tu reforms sio za wapinzani tu mana Table turns
Aya? Kwaheri. Nakuweka kwenye ignore list yangu kwa hiyo usijisumbue kunkjibu maana sitaona ulicho andika.Wewe unaumwa Aya CHAUMA ni Strong opposition party furahi Sasa😁
Basi unaangalia kwengine. Chaumma inajijenga katika grassroot level. Wako sana. Strategy yao ni tofauti na ya CHADEMA na CCM.
Amandla...
Sana .yani aliongea upumbavu mpaka nikawa najiuliza ni yeye kweli mtu aliyekuwa CDM ?
CCM inawenyeweCCM HAWAWEZI KUWANYIMA ULAJI WENZAO NA KUWAPA WAKIMBIZI WAJASILIA UBUNGE
Anayo Lucas Mwashambwa list ya wanawake wenzie katumiwaMatokeo yanaangaliziwa wapi ya ubunge viti maalum?
CHADEMA kina followers 27000. Chama kinacho jiita kuwa ni Chama kikuu cha upinzani. CCM kina followers karibu 900,000. Hao wa 2000 hakijafikisha nusu mwaka toka damu mpya ijiunge nao.
Amandla...
CHADEMA kina followers 27000. Chama kinacho jiita kuwa ni Chama kikuu cha upinzani. CCM kina followers karibu 900,000. Hao wa 2000 hakijafikisha nusu mwaka toka damu mpya ijiunge nao.
Amandla...
nikimkumbuka NASARI jinsi mbowe alivyomlaumu kwamba amesaliti chama, kumbe mbowe mwenyewe ndio lilikuwa saliti namba moja. silinde lazima wafyeke, nusrat lazima afyekwe, molel sitaki hata kumwona akitokea kwenye luninga,Huu mwaka mtamu sana, Hawa covid-19 ,walikuwa na jeuri aswaa. Huyu Lissu alipodai reforms alimtukana sana bungeni Ili aonekane.
Na alijiapiza Kwa jeuri kuwa atarudi bungeni.
Leo amefyekelewa mbali na wajumbe wa CWT. Bunge ataliona kwenye TV.
Nawasubiri wajumbe wafyekele mbali hawa watu, na hakika hawatoboi.
Ester Bulaya
Ester Matiko
Waitara
Molell wa Siha
Silinde
Nasari
Nusrat Hanje
Nileteeeni wajumbe