Ndo contender wa Samia kwenye uchaguzi huu
Umewahi kumuona akilia?Wamfyeje tu😂
J3 kuna watu watalia kilio cha kusaga menoWamfyeje tu😂
Samia ataona aibu so atawapa ata 10%CHAUMMA ponapona yao wapate asilimia Tano ya kura za urais na ubunge. Ili angalau wapate wabunge wa viti maalum hata watano. Ila bila hivyo watapoteana. Kwa uchaguzi huu hata Jimbo moja hawapati kwa bara na visiwani.
Mbona ipo sana?
Amandla...
Akifanya hivyo ili CCM wamuone😁
Samia ataona aibu so atawapa ata 10%
Jina la mwisho limemponza.Huu mwaka mtamu sana, Hawa covid-19 ,walikuwa na jeuri aswaa. Huyu Lissu alipodai reforms alimtukana sana bungeni Ili aonekane.
Na alijiapiza Kwa jeuri kuwa atarudi bungeni.
Leo amefyekelewa mbali na wajumbe wa CWT. Bunge ataliona kwenye TV.
Nawasubiri wajumbe wafyekele mbali hawa watu, na hakika hawatoboi.
Ester Bulaya
Ester Matiko
Waitara
Molell wa Siha
Silinde
Nasari
Nusrat Hanje
Nileteeeni wajumbe
Utakuwa bado kijana sana. CUF walisusia uchaguzi Zanzibar lakini CCM haikuona aibu kutawala kwa miaka mitano bila CUF. Na CUF ya wakati ule ilikuwa inakubalika Zanzibar kuliko Chadema ya leo inavyokubalika Bara. Kwa kifupi, hata udode vipi wanachojali CCM ni kutangazwa mshindi. Na kwa miaka mitano inayofuata watashika dola. Huo ndio ukweli wenyewe.Endelea kujipa moyo,,bila Chadema uchaguzi huu umedoda aswaa
The Mafia, Godfather... sukuma kete hio mkuu AmandaUtakuwa bado kijana sana. CUF walisusia uchaguzi Zanzibar lakini CCM haikuona aibu kutawala kwa miaka mitano bila CUF. Na CUF ya wakati ule ilikuwa inakubalika Zanzibar kuliko Chadema ya leo inavyokubalika Bara. Kwa kifupi, hata udode vipi wanachojali CCM ni kutangazwa mshindi. Na kwa miaka mitano inayofuata watashika dola. Huo ndio ukweli wenyewe.
Amandla...
Wakimbiziiiwamerudiii oyeeeeCCM HAWAWEZI KUWANYIMA ULAJI WENZAO NA KUWAPA WAKIMBIZI WAJASILIA UBUNGE
Ccm oyeeeeHuu mwaka mtamu sana, Hawa covid-19 ,walikuwa na jeuri aswaa. Huyu Lissu alipodai reforms alimtukana sana bungeni Ili aonekane.
Na alijiapiza Kwa jeuri kuwa atarudi bungeni.
Leo amefyekelewa mbali na wajumbe wa CWT. Bunge ataliona kwenye TV.
Nawasubiri wajumbe wafyekele mbali hawa watu, na hakika hawatoboi.
Ester Bulaya
Ester Matiko
Waitara
Molell wa Siha
Silinde
Nasari
Nusrat Hanje
Nileteeeni wajumbe
Ulikua unaambiwa tu Vito Corleone umeelewa nini Amanda?Utakuwa bado kijana sana. CUF walisusia uchaguzi Zanzibar lakini CCM haikuona aibu kutawala kwa miaka mitano bila CUF. Na CUF ya wakati ule ilikuwa inakubalika Zanzibar kuliko Chadema ya leo inavyokubalika Bara. Kwa kifupi, hata udode vipi wanachojali CCM ni kutangazwa mshindi. Na kwa miaka mitano inayofuata watashika dola. Huo ndio ukweli wenyewe.
Amandla...
Basi unaangalia kwengine. Chaumma inajijenga katika grassroot level. Wako sana. Strategy yao ni tofauti na ya CHADEMA na CCM.Ipo wapi?. Maana kwa vyama vinavyo shiriki uchaguzi ni CCM tu ndio inasikika.
Mkuu Pascal Mayalla naomba utoe neno hapaa very huge margin, the most disliked contestant
Ulikua unaambiwa tu kuhusu Corleone Family umeelewa nini hapo Amanda?Utakuwa bado kijana sana. CUF walisusia uchaguzi Zanzibar lakini CCM haikuona aibu kutawala kwa miaka mitano bila CUF. Na CUF ya wakati ule ilikuwa inakubalika Zanzibar kuliko Chadema ya leo inavyokubalika Bara. Kwa kifupi, hata udode vipi wanachojali CCM ni kutangazwa mshindi. Na kwa miaka mitano inayofuata watashika dola. Huo ndio ukweli wenyewe.
Amandla...
HAPANA .Msingwa hajawahi kumuongelea Lisu vibaya .... Msingwa mimi simdai .aliondoka CDM kwa sababu ya msaliti MboweOngeza msigwa
Ni ukweli mtupu. Chaumma wako sahihi wanaposema kuwa ukimsusia ubwabwa CCM ataula wote. Na sio CCM peke yake. Chama chochote cha siasa kikipata fursa hiyo kitafanya hivyo hivyo.The Mafia, Godfather... sukuma kete hio mkuu Amanda