GE2025 Salome Makamba afyekelewa mbali na wajumbe, ubunge viti maalumu, Shinyanga mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakati Vito aliamua kumkabidhi mwanawe mdogo, Ritz, himaya yake.
 
Ni ukweli mtupu. Chaumma wako sahihi wanaposema kuwa ukimsusia ubwabwa CCM ataula wote. Na sio CCM peke yake. Chama chochote cha siasa kikipata fursa hiyo kitafanya hivyo hivyo.

Amandla...
Haya sukuma kete hio mkuu Amanda
 
Basi unaangalia kwengine. Chaumma inajijenga katika grassroot level. Wako sana. Strategy yao ni tofauti na ya CHADEMA na CCM.

Amandla...
Ebu tutolee ujinga, grassroot ya wapi ,chama kikubwa kinabamba ground na social media,yaani ata followers 2k hamna afu unabwabwaja
 
Ebu tutolee ujinga, grassroot ya wapi ,chama kikubwa kinabamba ground na social media,yaani ata followers 2k hamna afu unabwabwaja
CHADEMA kina followers 27000. Chama kinacho jiita kuwa ni Chama kikuu cha upinzani. CCM kina followers karibu 900,000. Hao wa 2000 hakijafikisha nusu mwaka toka damu mpya ijiunge nao.

Amandla...
 
Kwenye covid wote yule sauti ya zege anaweza kuwa kajiwekea legacy nzuri kwa kuto kutapatapa
 
CHADEMA kina followers 27000. Chama kinacho jiita kuwa ni Chama kikuu cha upinzani. CCM kina followers karibu 900,000. Hao wa 2000 hakijafikisha nusu mwaka toka damu mpya ijiunge nao.

Amandla...
CCM since 2011, yaani 14 years back , Chadema toka April 2025, ndo account mpya imefunguliwa, CHAUMA kina more than 5 years X ila ata followers buku mbili hakina
 
CCM since 2011, yaani 14 years back , Chadema toka April 2025, ndo account mpya imefunguliwa, CHAUMA kina more than 5 years X ila ata followers buku mbili hakina
Unawezaje kusema Chadema lina account toka 2025 na Chaumma zaidi ya miaka mitano! Huo sasa ni ubishi usio na maana. Kinacho angaliwa ni name recognition na sio lini chama kimejiunga na X. Aidha, followers kwenye X sio kipimo sahihi cha popularity ya chama maana watanzania wengi hawatumii social media. Wanaotumia interest yao kubwa ni udaku na celebrities.
Kwaheri.

Amandla...
 
Wewe unaumwa Aya CHAUMA ni Strong opposition party furahi Sasa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…