Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Baada ya Ngorongoro ni zamu ya mlima Kilimanjaro.Ilishangiliwa wakati machinga wanaondolewa. Leo imekuwa zamu ya Wamasai, wakimalizana na Wamasai hatujui wataenda kwa nani
Unamfahamu mmasai mkuu?kwani hawawezi kutumia utaratibu wa kistaarabu kuwaamisha au akili yake imegotea hapo
kwani hawawezi kutumia utaratibu wa kistaarabu kuwaamisha au akili yake imegotea hapo
Makamba wa Shinyanga!Ni makamba tena
Naunga mkono!.... Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?
Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Kumuharibia mama kivip kwani huyo mama atakaa hapo milele.kama kuna swala liko kwa maslahi ya nchi ni vyema likafanyiwa kazi na ufumbuzi ukapatikana.hii tabia yakuwaza vyeo,madaraka na siasa kila mahali ndiyo iliyofikisha hii nchi hapa ilipo leo kua kama gari bovu.Swala la ngorongoro majadiliano lishaanza miaka mingi sana likawa linahairishwa ila nilazima lifikie mwisho maana hata kama litakwepwa kwenye awamu hii iko siku litaibuka tena.Vita Na wamasai Ni ngumu Sana, Kama mnabisha jaribni, mnaweza kukuta Mnaua 80% Na watarudi tena ngorongoro
Kwa nini mambo magumu yote mnafanya kipindi cha Mama? Hakuna malengo Ovu? Yani agombane Na kila kikundi!
Ccm hamuaminiki nyinyi, angalieni hii michezo yenu isiyoeleweka ya kukurupuka maana mnamharibia Mama yenu!
Swali zuri sana. Wanajua vema. I wish ifanyike underground survey ya eneo la OBC.Hivi ule mkondo wa rubby epitia wapi vile
Wakipelekwa kwenye flats, je watapewa njia ingine ya kuingiza kipato? Au watakula hizo flats.Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?
Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Ila raia wabishi sana. Ila wataielewa dola tu. Mapori yapo ambapo hakuna wanyama wa utalii lakini ubishi wa raia mpaka unakeraMbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.
Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.
Chanzo: TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
... kuishi kwenye flats hakutawazuia kujitafutia kipato.Wakipelekwa kwenye flats, je watapewa njia ingine ya kuingiza kipato? Au watakula hizo flats.
Washavimbiwa tayariMbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.
Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.
Chanzo: TBC 2
Maendeleo hayana vyama!