Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

Kwa hili tunakubaliana. Wamasai sio wanyama watoke ngorongoro kwa hiari au kwa nguvu.
 
Serikali haiwezi ua 80% ya kabila la raia wake. Hakuna jamii ya watu fulani eneo fulani inaweza pigana na serikali na ikashinda.
Fact,
Na ikiamua, SERIKALI, kwamba wataondoka, wataondoka,
Kitu inayokatwa serikali, hii inayolipa mpaka mshahara wa Rais, haionekani. Haijulikani Ila ina nguvu balaah!
Serikali ni kitu kingine, Mwendazake alipigana nayo weeh!
Ila Vita ambayo adui humjui na askari loyal humjui!

Wamachinga wapo wapi?? Kuna vitu ukijiuliza hupati majibu
 
Ni dubwasha fulani hivi.
 
Wamachinga wapo Mchikichini/ Karume au hujawaona!
 
Kam mzungu altok bla mtut na alvyokuw kawekeza leo kundi la wamaasai kadhaa tutmie armed struggle,zko wap mbnu zlzotmika kumng'oa mkolon tutmie hat moja ama zte kam kund hl ndan ya nch lna ngvu na miziz kulko ya mkolon,hyo n kulnda maslah ya ndgu zet na nchi kw ujumla.
 
Washawasha zitapita wapi Kyle porini,Hekima itumike kutatua,watu wamezoea kuishi na simba ndio watamuogopa binadamu.
Wakawachokonoe tu ili wapate wanachokitaka maana mtu mwenye ujasiri wa kumpora Simba kitoweo alichowinda kwa nguvu zake sidhani kama itakuwa ni rahisi kumkabili!

Waende wakaoneshwe namna ambavyo fimbo zinatumikaga zile😅
 
Kuna wajanja watanufaika ikiwa wamasai wataondolewa Ngorongoro...Kuna watu wanaplan kwenda kujenga mahoteli yao pale kwa kuwa ni ngumu mmsai kuuza kipande Cha ardhi yao ya urithi kutoka kwa mababu zao.
Hii ndio Plan! Zingine yaliobaki ni ma zengwe tu... Kwa kuwa ni awamu ya 4B sina shaka kuna jambo Tony Blair na wenzie wanataka wafanye hapo hifadhini.
 
Serikali ya awamu hii haina aibu kukutimua hata ulipojenga ukaanze kutaabika mtaani wala haioni soni!

Nyerere na mzee Kawawa hao walikuwa na highest degree of Wisdom katika ku deal na mambo yalioathiri welfare ya watu na ndio maana waliheshimiwa till date.
 
Itumike busara kwa sababu hata hio miaka ya 90 watu waliongea kwa utu sio kuoneshana ubabe! Theres alot good in being wise than being arrogant!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…