Aaronrweumbiza
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 577
- 711
Na Mimi nimeshangaa, ili Bungee limeshakuwa la familia.Kina Makamba kumbe wapo wengi eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi nimeshangaa, ili Bungee limeshakuwa la familia.Kina Makamba kumbe wapo wengi eeh
Kwa hili tunakubaliana. Wamasai sio wanyama watoke ngorongoro kwa hiari au kwa nguvu.Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.
Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.
Chanzo: TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Fact,Serikali haiwezi ua 80% ya kabila la raia wake. Hakuna jamii ya watu fulani eneo fulani inaweza pigana na serikali na ikashinda.
Ni dubwasha fulani hivi.Fact,
Na ikiamua, SERIKALI, kwamba wataondoka, wataondoka,
Kitu inayokatwa serikali, hii inayolipa mpaka mshahara wa Rais, haionekani. Haijulikani Ila ina nguvu balaah!
Serikali ni kitu kingine, Mwendazake alipigana nayo weeh!
Ila Vita ambayo adui humjui na askari loyal humjui!
Wamachinga wapo wapi?? Kuna vitu ukijiuliza hupati majibu
Wamachinga wapo Mchikichini/ Karume au hujawaona!Fact,
Na ikiamua, SERIKALI, kwamba wataondoka, wataondoka,
Kitu inayokatwa serikali, hii inayolipa mpaka mshahara wa Rais, haionekani. Haijulikani Ila ina nguvu balaah!
Serikali ni kitu kingine, Mwendazake alipigana nayo weeh!
Ila Vita ambayo adui humjui na askari loyal humjui!
Wamachinga wapo wapi?? Kuna vitu ukijiuliza hupati majibu
Hivi tuliyeambiwa yupo Hospitali alisharuhusiwa?Wamasai wanalo...!!
Kajipange hapo uone kikupatacho!Wamachinga wapo Mchikichini/ Karume au hujawaona!
Wakawachokonoe tu ili wapate wanachokitaka maana mtu mwenye ujasiri wa kumpora Simba kitoweo alichowinda kwa nguvu zake sidhani kama itakuwa ni rahisi kumkabili!Washawasha zitapita wapi Kyle porini,Hekima itumike kutatua,watu wamezoea kuishi na simba ndio watamuogopa binadamu.
Majina tu! Ha ha haaaa!Its Makamba Again!!!
Hivi ule mkondo wa rubby epitia wapi vile
As much as I see this, there's no one safe. It seems this is an organised plan to starve and eliminate some categories of people for the reasons best known to themselvesKweli kuna makundi yanavamiwa kwa awamu kisingizio maendeleo
Hii ndio Plan! Zingine yaliobaki ni ma zengwe tu... Kwa kuwa ni awamu ya 4B sina shaka kuna jambo Tony Blair na wenzie wanataka wafanye hapo hifadhini.Kuna wajanja watanufaika ikiwa wamasai wataondolewa Ngorongoro...Kuna watu wanaplan kwenda kujenga mahoteli yao pale kwa kuwa ni ngumu mmsai kuuza kipande Cha ardhi yao ya urithi kutoka kwa mababu zao.
Serikali ya awamu hii haina aibu kukutimua hata ulipojenga ukaanze kutaabika mtaani wala haioni soni!Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?
Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Acheni kusingizia Wananchi. Walimchagua Kwa uchaguzi gani?Ilikuwaje wananchi wanachagua watu hovyo kama hawa kuwa viongozi?
Itumike busara kwa sababu hata hio miaka ya 90 watu waliongea kwa utu sio kuoneshana ubabe! Theres alot good in being wise than being arrogant!Nchi hii ni kubwa sana na kila raia ana uhuru wa kuishi popote. Kama tuliwahi tuliwahamisha wafugaji wa usukumani (bila kujali kabila gani) miaka ya 90 kuwapeleka Morogoro, Lindi na Mbeya kunusuru mazingira, kuna ubaya gani kuwahamisha wafugaji wa ngorongoro kunusuru hifadhi na wanyama?
Leo hii tuna Wamasai nchi nzima na hawabaguliwi na bado ni kivutio cha watalii kwa shughuli zao za kimila wafanyazo. Napongeza Azimio la Bunge, kama kuna sheria ilibariki hayo, setikali iifanyie mabadiliko yatakayoendana na uhalisia wa sasa.
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.
Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.
Chanzo: TBC 2
Maendeleo hayana vyama!