Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
AJE By king kibaKio haki danganyi mama,....
Inama kidogo...
Uuuuwi ....this is the greatest thing from TZ no doubt!!
Pia hyo uuuwi....tanzania mnajua kutunga hapo c katai .....mnakaa chini mnaandika shairi tamu sana ....hapa kenya yawa akina willy paul wanatumalizaAJE By king kiba
Nimetii na huyo mse!!Wewe Mkenya Ngoma hii hapa imba kwa raha yako.
[Verse – 1]
Kioo hakidanganyi mama
umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu vyote mwanana
Mimi suruari yanidondoka
Tukimbizane nini salome wangu?
hiyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini salome wangu
Ukimuona jongoo
Inama kidogo shika magoti
Nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti
[Hook/Chorus]
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe
[Verse – 2]
Utamu kolea aprokoto
Ting’ari ting’ari ndani kwa moto
Nitamnyongea msokoto
Niteme sumu kali kama koboko
Eeeh Mapenzi yananipa shida
Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana usije baby kanicharanga
Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda, huwa siendagi
ngenge ni nganganga.
[Hook/Chorus]
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe
Duh!! hiyo lugha gani umeandika?Nimetii na huyo mse!!
Nime tii na Huyo mtuDuh!! hiyo lugha gani umeandika?
Nadahani unahangaika na muundo wa sentensi za kiswahili. Hebu jaribu kuandika kwa kingereza tukusaidie kuandika kiswahili vizuri.Nime tii na Huyo mtu
Hahaha yaitwa sheng' FYI kila mse kenya anagich ninacho semaNadahani unahangaika na muundo wa sentensi za kiswahili. Hebu jaribu kuandika kwa kingereza tukusaidie kuandika kiswahili vizuri.
Sasa unaharibu lugha ya kiswahili. Ni bora ungesema kwamba umeandika kikikuyu. Sasa hiyo Sheng' ongea ukiwa na familia yako nyumbani sio kwenye umma; unaharibu lugha adhimu ya kiswahiliHahaha yaitwa sheng' FYI kila mse kenya anagich ninacho sema
Sasa unaharibu lugha ya kiswahili. Ni bora ungesema kwamba umeandika kikikuyu. Sasa hiyo Sheng' ongea ukiwa na familia yako nyumbani sio kwenye umma; unaharibu lugha adhimu ya kiswahili
Kama gani hayo?Hapo tupo pamoja
Japo ukianza kuuchunguza wimbo huo
Yanaibuka mengine
Unaelewa maana yake lakini????Kio haki danganyi mama,....
Inama kidogo...
Uuuuwi ....this is the greatest thing from TZ no doubt!!
Wimbo umejaa 'matusi' matupu huo.Kama gani hayo?
C mnieleze !!!...stanza ya kwanza nimeelewa ....hahaha hapo pa ukimwona jongoo!Unaelewa maana yake lakini????