Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Wimbo upo na matusi ya reja reja mwanzo mwisho.Kama gani hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo upo na matusi ya reja reja mwanzo mwisho.Kama gani hayo?
[emoji23][emoji23][emoji23] iko tamu lakiniWimbo umejaa 'matusi' matupu huo.
Ndio maana watu wananiangalia funny hapa hehe .....hebu wacha nisome lyrics vyemaWimbo upo na matusi ya reja reja mwanzo mwisho.
Huo na huu upi unamatusi ?
Huwezi ukaelewa kwa kutumia kiswahili cha kawaida. Lugha ni ya mafumbo. Fumbo mfumbie mjimnga mwerevu atang'amua.Ndio maana watu wananiangalia funny hapa hehe .....hebu wacha nisome lyrics vyema
Huo na huu upi unamatusi ?
Huo na huu upi unamatusi ?
Wimbo usio nachembe ya shaka ni kama huu wa huyu dogoWa Ney matusi yake yapo wazi. Wa Diamond matusi yake yamefumbwa.
Nlipita fasihi .....just because am not practising perfect swahili doesnt make me shallow in the language....and besides Oxford Kenya and lornho launched a swahili kamusi in 1964Huwezi ukaelewa kwa kutumia kiswahili cha kawaida. Lugha ni ya mafumbo. Fumbo mfumbie mjimnga mwerevu atang'amua.
Nimekuambia methali tu. Usitoke povu.Nlipita fasihi .....just because am not practising perfect swahili doesnt make me shallow in the language....and besides Oxford Kenya and lornho launched a swahili kamusi in 1964
Nimekuambia methali tu. Usitoke povu.
Fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling'amua => Mara zote mtu asiyejua kitu ni mjinga.
Jamaa kajua umemtukana hahahaNimekuambia methali tu. Usitoke povu.
Fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling'amua => Mara zote mtu asiyejua kitu ni mjinga.
Hahaha jamaa kashituka kweli.Jamaa kajua umemtukana hahaha
Wololoooo yawa! Umeanzangaa na masifa joo!Nlipita fasihi .....just because am not practising perfect swahili doesnt make me shallow in the language....and besides Oxford Kenya and lornho launched a swahili kamusi in 1964
Kwani vinavyopendwa vyote ni vipya.?And its not new
Hahaha jamaa kashituka kweli.
Sammuel999, baada ya kuongea upupu wooote humu ndani na kumwaga povu unaweza thread ya kupooza vita! Something sinister utakuwa umepata info Uhuru ataomba JPM aruhusu maize iuzwe huko watu njaa inawaua! Mark my words itakua kwenye agenda kesho..