Salome

Salome

Sammuel999 then why did Zuma refuse to offer SADC support to Amina before consulting with the big daddy JPM himself? And direct Uhuru to JPM? Haki Uhuru na desperation aliyonayo anaweza kuinamishwa kidogo na muziki wa Salome i tell u! Diplomacy ni zero huko kwenu!
 
Na Uhuru anavyopenda kuvaa shanga mara bangili mkononi mara kiunoni mara mguuni...asalaaaalee..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] is tanzanian deeam a thing???? NIGERIANS THINK TANZANIA IS A KENYAN COUNTY ....GIVE ME A BREAK MAN
Kumbe Nigeria ndio mananga kiasi icho? Wakati wanasoma geography from primary school to sec school hawakuelewa Africa ina nchi ngapi??? Ulikutana na kibonde wakinigeria akaongea ujinga wa kutosha......ukafurah badala umfundishe uyo boya
 
Sammuel999 mkiitwa vibaraka na Geza mnatokwa povu mnagonga meza na milango kwa ngumi, kichwa na mateke! Ohoo mara Geza anatuchukia mara Geza mchokozi! Khaa Geza huyuhuyu asiye na munkari na shari na mtu?
 
Kakutana na boya la kinigeria, naye kwa upoyoyo wake kajua limetoa hoja ya msingi🙂🙂
 
Hiyo ya aje umeweka ya mwez juz ata kabla ya nymbo ya salome

Sababu labda hauwezi kuingia youtube, nimekuchukulia screenshot ya mida hii. ukae salama

Screenshot_20161030-203549.jpg
 
Good night Kenyan county that thinks its a country every one else knows ur kenya
 
Ndo maana mtu kama Sammuel999 anaweza kuongea mbele ya Wanaume nini mpopo anafikiri juu ya Tanzania! Aisee..huu ukibaraka wa Kenya utaishi daima na milele! Mungu epusha na ondoa hii jirani katika ufalafala!
 
Kumbe Nigeria ndio mananga kiasi icho? Wakati wanasoma geography from primary school to sec school hawakuelewa Africa ina nchi ngapi??? Ulikutana na kibonde wakinigeria akaongea ujinga wa kutosha......ukafurah badala umfundishe uyo boya
You let them talk all they want
 
Back
Top Bottom