Salome

Salome

Msaaaaaaaaada kwa tanzania kesho going once going twice

*magu anatii*

Sold Msaada kwa tanzania
 
Njaa iko kila mahali nionyeshe picha ya watu hao ....
Kwahiyo njaa kwenu ni kitu cha kawaida. Sisi sehemu ikitokea kuna upungufu wa chakula inakuwa kama emergence.

Rudi kwenye mada sasa.
Ngoja nikuambie maana ya wimbo huo.
 
Kwahiyo njaa kwenu ni kitu cha kawaida. Sisi sehemu ikitokea kuna upungufu wa chakula inakuwa kama emergence.

Rudi kwenye mada sasa.
Ngoja nikuambie maana ya wimbo huo.
Yeah ....ilhali real emergencies kama Earthquake zikitokea Kenyaninaingilia kati na kuwapa MSAAAAAAAAAAADA ......


Turudi kwa mada ...@geza amekuja akaharibu thread na kupotea
 
AJE By king kiba

Nilikutana na hii mitandaoni pia, kuna sehemu zingine zinaonyesha nyimbo hizi zimekaaje kwa wadau?

1477855058403.jpg
 
Sammuel999,there's a parody to this song done by Eric Omondi inaitwa "Sang'ombe"
Its been hilariously done!Tafta YouTube :-D
 
Back
Top Bottom