Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Msiposikiliza baada push up mtakiona cha motoLeo niko in a tolerating mood .....i will allow it!!!
Kesho magu anakuja kuomba msaada!! Alafu akimaliza aanze hizi:View attachment 426811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiposikiliza baada push up mtakiona cha motoLeo niko in a tolerating mood .....i will allow it!!!
Kesho magu anakuja kuomba msaada!! Alafu akimaliza aanze hizi:View attachment 426811
Uje tukuoze[emoji48][emoji48][emoji48] utanifanya nihamie Tanzania ....
Wacha utoto
Ingia hapa umsikilize Chikuzee
Anakuambia Njaa inauma kenya
Hahaha jamaa kaamua na kutoa wimbo
Chikuzee Kenya - njaa MP3 download | Mdundo.com
Siku gani mchele kilo ni 136???? Mchele kilo ni 80/- wacha porojoMpaka Jana
Nairbi mchele kilo ilikuwa Ksh 136
Sawa na Tsh 2995-3000
Wakati Leo Dar ulikuwa Tsh 1000-1500
Nani ananjaa
Nimeiona hehe naisha [emoji23][emoji23][emoji23]Sammuel999,there's a parody to this song done by Eric Omondi inaitwa "Sang'ombe"
Its been hilariously done!Tafta YouTube :-D
Hiyo ya aje umeweka ya mwez juz ata kabla ya nymbo ya salomeNilikutana na hii mitandaoni pia, kuna sehemu zingine zinaonyesha nyimbo hizi zimekaaje kwa wadau?
View attachment 426844
Hahaha wewe umeanza uchokoziSiku gani mchele kilo ni 136???? Mchele kilo ni 80/- wacha porojo
Ndio Dunia hiyoWatu wamekuwa wakishangiria nyimbo za matusi hii ni hatari
NiniKio haki danganyi mama,....
Inama kidogo...
Uuuuwi ....this is the greatest thing from TZ no doubt!!
Duh yaani wali kenya ni anasa.Hahaha wewe umeanza uchokozi
Mwenyewe
Ulisoma hesabu
Ingia hapa ukokotoe vizuri
Food Prices in Kenya
Kiswahili cha Kenya hiki. Hakina shida lakini. Ni ndugu zetu hawa.Nadahani unahangaika na muundo wa sentensi za kiswahili. Hebu jaribu kuandika kwa kingereza tukusaidie kuandika kiswahili vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] is tanzanian deeam a thing???? NIGERIANS THINK TANZANIA IS A KENYAN COUNTY ....GIVE ME A BREAK MANMOTOCHINI and game over, Wakenya wanalilia Tanzanian dream utawaskia kesho wakiomba waje kufanya kazi bila permits land of opportunities! Mchele bwerere, maize bwerere, maharagwe bwerere! Uwembo bwerere! Vitunguu na nyanya bwerere! Air travelling bwerere! Utalii bwerere! Gesi bwerere! internet data transfer affordability bwerere!
Nadhani ule ugonjwa wako bado unakusumbua. Mwisho wa siku utakuwa kichaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] is tanzanian deeam a thing???? NIGERIANS THINK TANZANIA IS A KENYAN COUNTY ....GIVE ME A BREAK MAN