Salon ya kiume inauzwa

Salon ya kiume inauzwa

Kaina

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
380
Reaction score
326
Wadau,

Ni salon ya standard ya kati. Ipo mahali pazuri kwenye movements za watu. Pia imeshafanya kazi kwa miaka miwili hivyo ina wateja na imeshazoeleka. Mwenyewe ni dogo langu lilikuwa linasoma chuo hapo KIU limemaliza linarudi mkoani.

Ipo Gongo la mboto. Kwa aliye interested anichek PM. Bei inazungumzika.
 
Yenye wateja sio Salon ni vinyozi..haswa kutokana na ubora wa kazi Yao. Unaweza ukawa na salon, ipo location nzuri na movements lakini vinyozi wakawa wabovu... Hivyo kwa mujibu wa maelezo yako hiyo si determining factor.
 
Kwa hiyo tufanyeje sasa kwa maelekezo yako? Ila kiufupi ni kwamba mmiliki ndo anauza. So mmiliki mpya akikubaliana na kinyozi aliyepo anaendelea kuwa mfanyakazi wake. Hapa ishu ni ownership na profit. Hivyo vingine ni mawazo tu
 
Hilo nalo neno mkuu. Nalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom