Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Nashukuru kwa ushauriTafuta mtu mwengne muaminifu
Biashara za sasa mkuu faida huwez kuiona mpk ukae mwnywe au uwe na close monitoring ndo utapata manufaa,Nashukuru kwa ushauri
Umeshawahi kumuona mhindi akimuachia mmatumbi biashara yake?wabongo biashara tunashindwa kwa sababu hiyo.Unayemuachia nae anashida kuliko wewe unategemea nini?Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,
Lengo langu nifanye biashara nyingine lakini nilichokiona kwa huyu jamaa Sina hata Hamu na Leo nimemstopisha Mara 1,,
Naombeni ushauri Kuna biashara nataka nianze natakiwa niwe nasafiri safiri Sasa huyu jamaa kanitia stress Sana Leo.. Asanteni
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,
Lengo langu nifanye biashara nyingine lakini nilichokiona kwa huyu jamaa Sina hata Hamu na Leo nimemstopisha Mara 1,,
Naombeni ushauri Kuna biashara nataka nianze natakiwa niwe nasafiri safiri Sasa huyu jamaa kanitia stress Sana Leo.. Asanteni
Labda kama umeoa umuache mke akusanye pesaNi kweli mkuu kwa mazingira ya hapa Kwanza sijaoa na rafiki wa karibu hapa Sina mkuu nimenasa Sana.. Wazo langu nifunge tu Kwanza..
Ili akusanywe yeye na mapato!!Labda kama umeoa umuache mke akusanye pesa
Tena afunge zile toleo jipya maarufu kama Ccmtv zile zilizopiga picha lile garifunga cctv
Ili akusanywe yeye na mapato!!
Mkuu ni kweli ila ukifungua biashara fulani unawaza na nyingine na huwezi kufanya zote mwenyewe lazima utafute watu wakusaidie hapo ndo unapoanza utata.Mhh hii inankumbusha basi flan...mwenye basi alikuw na siti y ake...anakaa na konda au dereva siku nzma....aspokuwepo anakaa mkewe.....biashara ukitaka kuona faida....kaa mwenyew
"Sijakuta hata mia" heb ngoja kwanza mkuu kwani huyo mtu wakati unamchukua vigezo gani ulitumia kumpata? Na alikua na vigezo vyote ulivyotaka? Mfumo wako wa kufanya biashara kati yako kama muajiri na mwajiriwa wako ulikuaje? I mean makubaliano yalikua kulipwa mishahara mwisho wa mwezi, au kwa kipande yaani kwa siku? Vp hayo makubaliano mliyaweka kwa maandishi? (mkataba)
Usione nakuhoji maswali mengi sababu kama haujajua ulikosea wapi next time there is high chances ukarudia makosa yale yale!
Lissu anaziita SisiTVTena afunge zile toleo jipya maarufu kama Ccmtv zile zilizopiga picha lile gari
Mkuu ungeuelewa uzi usingeandika ulichoandikaHii nayo inahitaji ushauri kweli sasa wew utakua mwanaume wa Dar