Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,
Lengo langu nifanye biashara nyingine lakini nilichokiona kwa huyu jamaa Sina hata Hamu na Leo nimemstopisha Mara 1,,
Naombeni ushauri Kuna biashara nataka nianze natakiwa niwe nasafiri safiri Sasa huyu jamaa kanitia stress Sana Leo.. Asanteni