Saloon yangu(cut) iko matatani nimepigwa mzinga wiki 1 tu

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,

Lengo langu nifanye biashara nyingine lakini nilichokiona kwa huyu jamaa Sina hata Hamu na Leo nimemstopisha Mara 1,,

Naombeni ushauri Kuna biashara nataka nianze natakiwa niwe nasafiri safiri Sasa huyu jamaa kanitia stress Sana Leo.. Asanteni
 
Nashukuru kwa ushauri
Biashara za sasa mkuu faida huwez kuiona mpk ukae mwnywe au uwe na close monitoring ndo utapata manufaa,
Kuhusu kupata mtu mwaminifu ni mara chache mno.. utajikuta hata ndugu yako anakupiga chinji kavuu..
Hapo ni mke au rafiki yako wa karibu sana anaweza akawa anaizungukia zungukia wakati haupo
 
Ni kweli mkuu kwa mazingira ya hapa Kwanza sijaoa na rafiki wa karibu hapa Sina mkuu nimenasa Sana.. Wazo langu nifunge tu Kwanza..
 
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,

Lengo langu nifanye biashara nyingine lakini nilichokiona kwa huyu jamaa Sina hata Hamu na Leo nimemstopisha Mara 1,,

Naombeni ushauri Kuna biashara nataka nianze natakiwa niwe nasafiri safiri Sasa huyu jamaa kanitia stress Sana Leo.. Asanteni
Umeshawahi kumuona mhindi akimuachia mmatumbi biashara yake?wabongo biashara tunashindwa kwa sababu hiyo.Unayemuachia nae anashida kuliko wewe unategemea nini?
 
"Sijakuta hata mia" heb ngoja kwanza mkuu kwani huyo mtu wakati unamchukua vigezo gani ulitumia kumpata? Na alikua na vigezo vyote ulivyotaka? Mfumo wako wa kufanya biashara kati yako kama muajiri na mwajiriwa wako ulikuaje? I mean makubaliano yalikua kulipwa mishahara mwisho wa mwezi, au kwa kipande yaani kwa siku? Vp hayo makubaliano mliyaweka kwa maandishi? (mkataba)
Usione nakuhoji maswali mengi sababu kama haujajua ulikosea wapi next time there is high chances ukarudia makosa yale yale!
 
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,

Lengo langu nifanye biashara nyingine lakini nilichokiona kwa huyu jamaa Sina hata Hamu na Leo nimemstopisha Mara 1,,

Naombeni ushauri Kuna biashara nataka nianze natakiwa niwe nasafiri safiri Sasa huyu jamaa kanitia stress Sana Leo.. Asanteni

funga cctv
 
Mkuu Kwanza kabisa ilikua jamaa anilipe kwa wiki lakini baada ya wiki ananiambia wateja hamna.. Wakat MI nimekaa pale miwili na saloon iko kwenye Mahali ambapo wageni wanaingia na kutoka daily..

Kuhusu mkataba hapa niwe muwazi hatukuandikishiana popote.. Na kigezo cha kumpata ni kupita tu rafiki yake!
 
Mhh hii inankumbusha basi flan...mwenye basi alikuw na siti y ake...anakaa na konda au dereva siku nzma....aspokuwepo anakaa mkewe.....biashara ukitaka kuona faida....kaa mwenyew
 
Mkuu ni kweli ila ukifungua biashara fulani unawaza na nyingine na huwezi kufanya zote mwenyewe lazima utafute watu wakusaidie hapo ndo unapoanza utata.
 
"Sijakuta hata mia" heb ngoja kwanza mkuu kwani huyo mtu wakati unamchukua vigezo gani ulitumia kumpata? Na alikua na vigezo vyote ulivyotaka? Mfumo wako wa kufanya biashara kati yako kama muajiri na mwajiriwa wako ulikuaje? I mean makubaliano yalikua kulipwa mishahara mwisho wa mwezi, au kwa kipande yaani kwa siku? Vp hayo makubaliano mliyaweka kwa maandishi? (mkataba)
Usione nakuhoji maswali mengi sababu kama haujajua ulikosea wapi next time there is high chances ukarudia makosa yale yale!

nice
 
Back
Top Bottom