Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Maongezi mengi mle ni kufundishana ujinga madanga , ku cheat , sijui sponsor sijui mganga yupi kiboko kumteka mumeSasa wanawake wenye akili timamu atapewaje ushauri na kuufuta kama zuzu?
Ukiona hivyo jua ni tabia zake tu hata ukimfungia ndani anazo tu .
Hio ni point lakini pia maongezi yao mengi huwa sio productive utasikia sponsor. Michepuko , mbinu za kumteka bwana , mwengine atawatambia wenzake bwana wake sijui kamfanyia nnKila wanapokaa walioshindwa au kukosa muelekeo huwadanganya wenzako
Shida pia kwa mwanamke wako anakuwa ameshakuchoka anatafuta mbinu za kukamilisha ushetani wake
Ukigundua mwanamke wako amechepuka achana nae na usimsamehe hata wakija viongozi wa dini au kimila
Kuna wakware huenda saloon za kike kubeba mizigo sababu nyingine ndio kazi zaoHio ni point lakini pia maongezi yao mengi huwa sio productive utasikia sponsor. Michepuko , mbinu za kumteka bwana , mwengine atawatambia wenzake bwana wake sijui kamfanyia nn
Salon ni ushetani, kwa kuanzia, wapo pale kubadili maumbile ya asili na muonekano wa assili.Nimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu.
Mafundisho yote ya kijinga ya wanawake utayakuta kwenye saloon zao wanapeana ushetani
Sasa kutekwa si ndio raha?Maongezi mengi mle ni kufundishana ujinga madanga , ku cheat , sijui sponsor sijui mganga yupi kiboko kumteka mume
Kwani naishi mbinguni si nipo duniani humu humu pengine nilisimuliwaWe umejuaje mkuu
Yani mi mwanamke akishakubali kuvuliwa nguo ya ndani na mwanaume mwingine hiyo kwangu haiwezi kuwa bahati mbaya au kosa la kwanza hiyo ndo amejiondoa rasmi kwenye himaya yangu, mimi binafsi nitatafsiri hilo jambo ni kama kashfa kwangu na kuona kwamba amefanya hivyo ili ajipatie tiketi ya kuachana na mimi hivyo nitampa uhuru autakao hata aje nani hawezi kunibadili maamuzi yanguKila wanapokaa walioshindwa au kukosa muelekeo huwadanganya wenzako
Shida pia kwa mwanamke wako anakuwa ameshakuchoka anatafuta mbinu za kukamilisha ushetani wake
Ukigundua mwanamke wako amechepuka achana nae na usimsamehe hata wakija viongozi wa dini au kimila
Hata mawasiliano nae kata kabisa hata ukikuta amegongwa na bodaboda mbele yako jifanye kama hujamuona sepaYani mi mwanamke akishakubali kuvuliwa nguo ya ndani na mwanaume mwingine hiyo kwangu haiwezi kuwa bahati mbaya au kosa la kwanza hiyo ndo amejiondoa rasmi kwenye himaya yangu, mimi binafsi nitatafsiri hilo jambo ni kama kashfa kwangu na kuona kwamba amefanya hivyo ili ajipatie tiketi ya kuachana na mimi hivyo nitampa uhuru autakao hata aje nani hawezi kunibadili maamuzi yangu
Vijana wanaoa Ukubwa WA tako,mke akianza mauzauza wanasingizia marafiki wabaya🤓🤓🤓🤓🤓🤓Sasa wanawake wenye akili timamu atapewaje ushauri na kuufuta kama zuzu?
Ukiona hivyo jua ni tabia zake tu hata ukimfungia ndani anazo tu .
Don't underestimate the power of association and about induction, ulisomaga fizikia kweli unajua how to magnetize magnetic materialsSasa wanawake wenye akili timamu atapewaje ushauri na kuufuta kama zuzu?
Ukiona hivyo jua ni tabia zake tu hata ukimfungia ndani anazo tu .