min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ego is the enemyDon't underestimate the power of association and about induction, ulisomaga fizikia kweli unajua how to magnetize magnetic materials
Ego is the enemyDon't underestimate the power of association and about induction, ulisomaga fizikia kweli unajua how to magnetize magnetic materials
😅😅😅😅😅 hii ni kwelVijana wanaoa Ukubwa WA tako,mke akianza mauzauza wanasingizia marafiki wabaya🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Kwangu Mimi naona shida ni kizazi cha sasa hakipo sawa kwenye utafutaji,wanawaza uwepesi nikutumia miili yao ilikurahisisha mambo ndio maana ukiposti I ujinga TZ unapendwa nakushabikiwa kuliko vitu vya kutumia akiliNimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu.
Mafundisho yote ya kijinga ya wanawake utayakuta kwenye saloon zao wanapeana ushetani
Hata vijiweni vijana kwa wazee uharibikiwaNimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu.
Mafundisho yote ya kijinga ya wanawake utayakuta kwenye saloon zao wanapeana ushetani
Here sio kuwa ni ego Ila nimemkatalia kuwa hizo saluni wakikutana na wanawake wenzake wanaambukizana tabia Wala Hilo halipingiki bossEgo is the enemy
Sijamaanisha una ego nimekutaja tuHere sio kuwa ni ego Ila nimemkatalia kuwa hizo saluni wakikutana na wanawake wenzake wanaambukizana tabia Wala Hilo halipingiki boss
Show me Ego ruled me
Very true hivi mtu anabadilikaje haraka hivyo?Mtu akiamua, haya peke yake tu anaweza change. Ukiona mtu ka change sio kwamba kabadilishwa hapana, kalutana na wanaounga mkono mawazo na masuala yale ambayo wewe hukuyajua
Hapana mkuu, ni kama binadamu yeyote.Sasa wanawake wenye akili timamu atapewaje ushauri na kuufuta kama zuzu?
Ukiona hivyo jua ni tabia zake tu hata ukimfungia ndani anazo tu .
Okay, nimekupata bwanaSijamaanisha una ego nimekutaja tu
Ndio maana nikasema timamu mkuuHapana mkuu, ni kama binadamu yeyote.
Tabia nyingine mtu anakutana nazo kulingana na mazingira. Anaweza asiwe mvuta ganja ola kuroll na wala ngada kuna namna atakua kwa kushawishiwa au kuvutiwa kwa kuona.
Sasa wee wasi wasi wako nn? Hutaki kurogwaa? LolMaongezi mengi mle ni kufundishana ujinga madanga , ku cheat , sijui sponsor sijui mganga yupi kiboko kumteka mume
😂😂😂😂dah mkuu unachosema ni kweli kabisa..... wife ana saluni ya kike kipindi fulani tuliamua tuweke kamera haikua ndani ila mara nyingi wife alikua akisikiliza yanayoendelea anawapata vyema...... mda mwingine wanajisahau wanamsema wife mda mwingine wanaongea vitu hadi unaogopa..... naenjoy sana kusikiliza wanayoongea mda mwingine nakaa na wife namwambia siku huyo dada akijua yanayoongelewa tunasikia basi ajiandae kutafta mtu mwingine maana anajimaliza sana asee lazima ataondoka maana ni aibu tupu......
ashawahi simulia akinyanduliwa mpka akajamba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilicheka sana
Sijui kwanini wanashindwa kukuelewa, afu uko sahihi kabisaa.Ndio maana nikasema timamu mkuu
Wengi wanaona wanawake kama watoto wachanga wasio weza kufanya maamuzi yaoSijui kwanini wanashindwa kukuelewa, afu uko sahihi kabisaa.
WABAYA HUWAHARIBU WAZURI AND VISE VERSA IS NOT TRUEHapana mkuu, ni kama binadamu yeyote.
Tabia nyingine mtu anakutana nazo kulingana na mazingira. Anaweza asiwe mvuta ganja ola kuroll na wala ngada kuna namna atakua kwa kushawishiwa au kuvutiwa kwa kuona.