Nimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu.
Mafundisho yote ya kijinga ya wanawake utayakuta kwenye saloon zao wanapeana ushetani
umenena ukweli ndugu yangu!!!,,,,ata wanaume malaya wakitaka wanawake za wa2 wanaongea na wenye saloon!! matokeo yake ndoa zinzvunjika vibaya sana!!!,,,ukitaka kujua ulichoandika ni ukweli,,,angalia hii fashion ya wake za wa2 kubeba vi2 vya ndani na kwenda kupanga wanapopajua wenyewe,,,,kisa,,,,majambaa yanapaka mkongo,,wake ze2 wanakojoleshwa mpaka wanapiga kelele utafikiri wapo kwa mwamposa,,,akirudi nyumbani wewe ukipiga origiginala bila dawa anakuona kinyago man!!!,,,noma sana!!