Saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake

Kwangu Mimi naona shida ni kizazi cha sasa hakipo sawa kwenye utafutaji,wanawaza uwepesi nikutumia miili yao ilikurahisisha mambo ndio maana ukiposti I ujinga TZ unapendwa nakushabikiwa kuliko vitu vya kutumia akili
 
Hata vijiweni vijana kwa wazee uharibikiwa
 
Kuna wanaume wapo tayari kuingia gharama kumnunulia vifaa mkewe aje kutengenezwa nywele na kucha akiwa nyumbani. Huko kwenye saloon umalaya ni mwingi sana.
 
Sasa wanawake wenye akili timamu atapewaje ushauri na kuufuta kama zuzu?

Ukiona hivyo jua ni tabia zake tu hata ukimfungia ndani anazo tu .
Hapana mkuu, ni kama binadamu yeyote.

Tabia nyingine mtu anakutana nazo kulingana na mazingira. Anaweza asiwe mvuta ganja ola kuroll na wala ngada kuna namna atakua kwa kushawishiwa au kuvutiwa kwa kuona.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…