Salum Mayanga atimuliwa Taifa Stars

TFF inatarajia mafanikio huku wakiwa hawana mipango endelevu.
Waulize leo ipo wapi timu ya vijana iliyocheza Gambia?
Hata wakimchukua Guardiola bado hakutakuwa na mafanikio.
 
Yy yy hakuwa kocha wa timu ya taifa kwenye chalenji , ninje ndio alikuwa kocha ,
 
Kwa mtazamo wangu Mayanga kaonesha mafanikio katika taifa stars kuliko makocha wote waliokuja baada ya Maximo. Kama ndio hivi sasa nani atavaa viatu vyake?
Soka la Bongo kizungumkuti
Hiyo ni kweli mkuu , kama ingewezekana wangemfanya kocha msaidizi wa huyo anayekuja
 
TFF inatarajia mafanikio huku wakiwa hawana mipango endelevu.
Waulize leo ipo wapi timu ya vijana iliyocheza Gambia?
Hata wakimchukua Guardiola bado hakutakuwa na mafanikio.
We ndio umeongea cha maana
Unamlaumu kocha huku huna wachezaji
 
Nchi hii maajabu hayatakaa yaishe aisee. Unamfukuza kocha aliyecheza mechi kumi na nne akafungwa moja unamuacha aliyecheza mechi nne akafungwa tatu.
 





Hivi ni vikosi alizokuwa anatumia mayanga nimeleta sample 2 haya nionyeshe mchezaji hata mmoja kutoka zenji hapo ,mnatafuta easy punching bag eh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…