Salum Mwalim na kundi lake hawajakomaa kisiasa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Team Maalim ilipohama CUF na kujiunga na ACT hukuwahi kuwasikia wakiwashambulia CUF, sio Lipumba , Sakaya wala Nachuma. Sii Jussa, Maalim mwenyewe wala Mansour

Hii tofauti na viongozi wa CHADEMA waliohama. 99% za mapambano yao ni dhidi ya chama waliotoka.

Hawa bado wachanga kisiasa
 
heche amekomaa kuropoka baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti 🐒
 
Team Maalim ilipohama CUF na kujiunga na ACT hukuwahi kuwasikia wakiwashambulia CUF, sio Lipumba , Sakaya wala Nachuma. Sii Jussa, Maalim mwenyewe wala Mansour

Hii tofauti na viongozi wa CHADEMA waliohama. 99% za mapambano yao ni dhidi ya chama waliotoka.

Hawa bado wachanga kisiasa
Hawa hawakuhama hawa wanatumika

English No Reform, No Election
Mandarin Chinese (Simplified) 没有改革,就没有选举
Hindi सुधार नहीं, तो चुनाव नहीं
Spanish Sin reforma, no hay elecciones
French Pas de réforme, pas d’élection
Standard Arabic لا إصلاح، لا انتخابات
Bengali সংস্কার নেই, নির্বাচন নেই
Russian Нет реформ — нет выборов
Portuguese Sem reforma, sem eleição
Urdu اصلاح نہیں تو انتخابات نہیں
Indonesian Tidak ada reformasi, tidak ada pemilu
German Keine Reform, keine Wahl
Japanese 改革なしでは選挙なし
Swahili Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi
Marathi सुधार नाही, निवडणूक नाही
Telugu సంస్కరణలు లేవు అంటే ఎన్నికలు లేవు
Turkish Reform yoksa seçim yok
Tamil திருத்தம் இல்லை என்றால் தேர்தலும் இல்லை
Korean 개혁 없이는 선거도 없다
Vietnamese Không cải cách, không bầu cử
 
Team Maalim ilipohama CUF na kujiunga na ACT hukuwahi kuwasikia wakiwashambulia CUF, sio Lipumba , Sakaya wala Nachuma. Sii Jussa, Maalim mwenyewe wala Mansour

Hii tofauti na viongozi wa CHADEMA waliohama. 99% za mapambano yao ni dhidi ya chama waliotoka.

Hawa bado wachanga kisiasa
Tangaza sera zako badala ya kuwaponda wengine
'
Castigating in politics' ni siasa za kishamba na kitoto
 
Back
Top Bottom