PreGE2025 Salum Mwalim: Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyo ni marioo kwa wanawake wa COVID 19 hana lolote ni mtu mjinga mjinga mwenye njaa kali sana
 
Timu Mbowe walizoea kuiba pesa za chama na kuzitafuna kienyeji kwa njia haramu sasa hawana nafasi ya kufanya ufisadi wameamua kuwa chawa wa ccm
 

Hata pale wahusika wanapokiri wenyewe kuwa hawakuwa wenzetu?

Your browser is not able to display this video.
 
Siyo kweli, tambua kuwa Timu mbowe sasa ni ccm B na sasa wanakula pesa za ccm kiulani kwa ahadi kuwa watakidhooficha chama, Mbowe baada ya kuishiwa Pesa kabuni mradi mpya wa kula pesa za ccm kwa kupandikiza chuki kubwa kwa uongozi mpya na kuwaundia zengwe nyingi zikiwemo chokochoko zote za G55 akiamini chadema itakufa ili afanye mapinduzi arejee upya
 
Wote tuliona uchaguzi wa mfano kabisa kwa maana ya uwazì na ukweli huo udanganyifu ulifanyikia wapi?
 
Mipango yote ya hovyo dhidi ya chadema inaratibiwa na mbowe ambaye kwa sasa ni mashauri mkuu wa ccm upande wa kuidhoofisha upinzani
 
Nililetaga thread kuhusu huyu jamaa sikumbuki nilitumia ID gani ila nilisema huyu jamaa ni mamluki wa ccm
 
Sikutegemea siku moja Mbowe angefanya ujinga kama aliofanya Lipumba wa kukibomoa chama ambacho ameshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
 
Kwa sasa kirusi mdudu hatari kwa chadema ni Mbowe ambaye kaamua kuigeuza chadema Duka la kuvuna pesa toka ccm, laana zote zielekezwe kwa mbowe ilibidi Mbowe asomeww Alibadiri kubwa kwa maovu anayowatendea chadema sasa
 
Nililetaga thread kuhusu huyu jamaa sikumbuki nilitumia ID gani ila nilisema huyu jamaa ni mamluki wa ccm
Sasa wanakula pesa za ccm kiulaini na wajanja wa ccm nao wananufaika kupitia kwao kwa fungu la kuwatoa chadema hugawana nao
 
Sikutegemea siku moja Mbowe angefanya ujinga kama aliofanya Lipumba wa kukibomoa chama ambacho ameshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Mbowe sasa ni shetani mkubwa kaamua kula pesa za ccm bila aibu bila kificho akiamini chadema itakufa apate kufanya mapinduzi arejee tena
 
Sikutegemea siku moja Mbowe angefanya ujinga kama aliofanya Lipumba wa kukibomoa chama ambacho ameshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Nanyi tabia yenu ni mbaya sana. Kama unatambua hivyo kwanini mlimvunjia heshima kiasi kile? Hata baada ya uchaguzi mmeendelea kumuandama yeye na waliomuunga mkono. Hamna talent ya uongozi kabisa . Endeleeni na uanaharakati wenu. Mwacheni Baba wa watu.
 
Hata 2010 mgombea akiwa Dr Slaa alishinda lakini mauzo yalifanyika pasi mgombea kufahamu akiambiwa aendelee na majukumu yake kama Katibu Mkuu wa Chama.
Mbowe kwa sasa yafaa amulikwe kwa tochi nyingi sana maana anayoyafanya huko gizani yanatisha sana
 
Nawewe acha ujinga wa kujaza seva kwa thread's za hovyo. Unaushahidi?
Mbowe sasa ni shetani mkubwa kaamua kula pesa za ccm bila aibu bila kificho akiamini chadema itakufa apate kufanya mapinduzi arejee tena
 
Hajavunjiwa heshima bali ukweli uliokuwa umefichika uliwekwa bayana ili watu wasiendelee kuhadaiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…