PreGE2025 Salum Mwalim: Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe hakuwa na heshima yeyote isipokuwa walikuwa wakimsitiri tu, ikumbukwe mbowe aliiba pesa zote za chama, alikuwa akiomba Riushwa ya ngono kwa wabunge viti maalum, hana heshima ni mtu wa hovyo sasa ni Lipumba wa chadema kwa sasa ingawa ccm hawajazinduka kuwa pesa zao zinaliwa na mbowe lakini chadema ipo moyoni mwa watanzania ambao wamejua ukweli na hujuma zake
 
Hajavunjiwa heshima bali ukweli uliokuwa umefichika uliwekwa bayana ili watu wasiendelee kuhadaiwa.
Mbowe alikuwa mwizi fuska na pia kula pesa toka ccm alipotoka jela, Mbowe hana mfano wa kuigwa ni mtu mwenye mambo mengi ya hovyo sana
 
ccm kwa sasa imekuwa shamba la bibi watu wa hovyo toka chadema wanaenda kujichukulia pesa kiulaini kufa kufaana G55 wanachukua mafao ya ccm
 
Mafao ya wasariti toka chadema yapo ccm
 
Mbowe kwa sasa yafaa amulikwe kwa tochi nyingi sana maana anayoyafanya huko gizani yanatisha sana
Mkakati unaosukwa na mfumo ni kumtumia Mbowe kuua nguvu ya Lissu.
 
Ameongea linj kwamba ndie anavuruga.Huwezi kumtukana kiongozi mwenzako ukawa salama,hata Magu hayo ni baadhi ya mambo yaliyomgharimu.Kubalini Lisu alimchafua sana mtangulizi wake,na baada ya kupata uongozi hakutaka suluhu.Mlisema Mbowe hakubaliki hii nguvu ya kuvuruga anaitoa wapi!!?
 
Mke wake ni mmoja wa wale covid 19.
Amepoteza pakubwa
 
Matusi, uongo, chuki na uzandik ndio mnataka kugeuza kuwa nembo ya CDM ya leo. Ushujaa wenu ni wa humu humu lakini mnangoja kibali cha mnaedai kuwa ni mbaya wenu ndio mhudhurie kesi za viongozi wenu.

Kama nyie kweli ni wafuasi wa Chadema, jengeni chama chenu na mpiganie haki itendeke kwa wafuasi na wanachama wenu ambao wamefungwa, wamepotea na hata kuuawa katika mazingira tatanishi. Mnachofanya ni mnathibitisha ukweli wa aliyosema Mwalimu na wenzake.

Amandla...
 
Mbowe hata kura alizopata alihonga wajumbe! Yule ni mjinga tu na hana maana yeyote!
Alifanya chama mali yake na washikaji zake!
 
Kwa ile mitusi aliyopewa Mbowe bora asepe tu, kama walijua ni mtu aliyeijenga CDM wasingemtukana mitusi ile -- Mbowe kama uko humu, ondoka baba...waache waliokutukana wajenge chama.
 
Sasa yeye ndio aliekuwa msimamizi mkuu? Inamaana akisamamia uongo?
 

Watu kuhama katika Vyama vya Siasa au kuhama Dhehebu la Dini ni jambo la kawaida kabisa hapa duniani. Wala siyo Kitu Kigeni.

Isipokuwa kwa jinsi Mimi ninavyofahamu, nchini Tanzania kuna Makundi Matatu (3) ya Vyama vya Siasa, makundi hayo ni:-

1. Vyama Tawala.
Kwa Sasa kipo kimoja tu, yaani CCM. CCM inatawala nchi hii ikiwa Chama pekee, haijaingia Mseto na Chama kingine chocolate kile Cha Siasa ili kuunda Serikali.

2. Vyama vya Upinzani.
Hivi ni Vyma mbadala ambavyo vinakinzana na Chama Tawala kwa kutumia nguvu za hoja, hoja za nguvu, ushawishi wake katika jamii, n.k. Mainly, Vyama hivi vinalenga hasa masuala ya HAKI na Demokrasia.

3. Vyama Mamluki.
Hivi ni Mkusanyiko wa Vyama ambavyo Vinamilikiwa na Chama Tawala kilichopo Madarakani. Kazi yake kuu ni kufanya Siasa za Geresha, Maigizo, hadaa na Ghiriba ili kuhujumu harakati halali za Kupigania HAKI na Demokrasia katika nchi. Vyama hivi ni Kama vile 'Undercover Agents,' wanaofanya kazi chini ya Mwavuli wa Siasa, lakini nyuma ya pazia vinaifanyia kazi Utawala uliopo na Chama Tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…