John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa nyingi na siasa chafu jambo ambalo lilotia doa sana.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Wewe kinachokuwasha nini au wewe ndiye Joyce Mukya maana naona ume mind sana Mbowe kutajwa.Sasa mnalalamika nini
Kakaa pembeni bado mnampigia kelele.
Haikusaidii kutukana. Mtu keshawaachia chama, mwache apumzike. Jikite ktk kujenga chama chako na kumtetea kiongozi wako atoke gerezani. Mmemjaza upepo Lissu, sasa yuko ndani. Halafu mmebakia warriors kwenye keyboard tu. Acheni unafiki.Wewe kinachokuwasha nini au wewe ndiye Joyce Mukya maana naona ume mind sana Mbowe kutajwa.
Wewe tatizo lako nini na ni nani hadi utupangie cha kusema? Tutamsema kwa sababu yeye ndiye chanzo cha matatizo, kama unaumia akisemwa usisome post zetu lakini lakini lazima asemwe tu hakuna jinsi nyingine.Haikusaidii kutukana. Mtu keshawaachia chama, mwache apumzike. Jikite ktk kujenga chama chako na kumtetea kiongozi wako atoke hadharani. Mmemjaza upepo Lissu, sasa yuko ndani. Halafu mmebakia warriors kwenye keyboard tu. Acheni unafiki.
Tukiuacha ule uchaguzi uliofanyika hadharani je, kulikuwa na uchsguzi mwingine uani? Ule uchaguzi baada ya matokeo kutolewa tulishuhudia wote wakipongezana na kufarijiana sasa haya mengine yametokea wapi?Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa nyingi na siasa chafu jambo ambalo lilotia doa sana.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Kamechukuliwa demu wake na Maulidi KitengeHakanaga hata mvuto wa kisiasa
Wale Covid 19 kazaa na mmoja mtotoAjibu hoja je ana mwanamke mwenye covid 19?
Hizi tuhuma kama ni za kweli basi Mbowe hatendi haki kwa chama aliocho kiasisi na kukilea miaka yote. Hii inaitwa self destruction. Haina tija kwa chama wala taifa.Mipango yote ya hovyo dhidi ya chadema inaratibiwa na mbowe ambaye kwa sasa ni mashauri mkuu wa ccm upande wa kuidhoofisha upinzani
Wakapumzike Chauma.Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa nyingi na siasa chafu jambo ambalo lilotia doa sana.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Huyu mi niliona kama punguani. Wasafi walimuuliza swali akashindwa kujibu wakapotezea kwamba baada ya kumaliza kusoma taarifa ya habari kwa ufupi ya saa 12 kamili jioni ya tarehe 7/5/2025. lkn baada ya taarifa hiyo ya habari ulipigwa mziki muda mrefu bila kujibu maswali.Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa nyingi na siasa chafu jambo ambalo lilotia doa sana.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA