Salum Mwalimu hana rekodi ya mapambano ya kisiasa

Mtu unajificha kwa ID fake then unakuwa jasiri wa kumtukana heche!!
Keyboard warriors
nasafiri Africa nzima free bila kificho iweje nibabaike na fake id kwenye jukwaa hili muhimu la wadau makini na waheshima sana wa JF 🐒
 
Jimbo la Kikwajuni
Jimbo la Kinondoni
Urais wa chuo cha usimamizi wa Fedha(IFM)
Huku kote alishindwa vibaya
Sawa, hongera wewe mwenye rekodi. Haya, kajenge chadema yenu kamanda. Umtukanaye hayupo tena, achana nae!
 
Gentleman,
hiyo ni record tosha kabisa,
sawa tu na useless record za akina Lisu na Heche ambao hawana record yoyote ya maana ya maendeleo licha ya kua wabunge.

Heche ndio ana record ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti tu 🐒

Issue ni trust kiongozi chawa, nani anaweza kumuamini ntu wa namna hii tena kwa nchi yenye mashaka kama yetu! Kajimaliza mwenyewe, nampa 2 yrs atafutika kwenye ramani kabisa, sadly! Chawa wa uvisisiem mmemdaganya na akabeba maskin😎, atakuja kushtuka mshasonga na mkewe hana ubonge wa covid19 tena. By the way covid sio janga la dunia tena so itakula kwake big time!
 
nasafiri Africa nzima free bila kificho iweje nibabaike na fake id kwenye jukwaa hili muhimu la wadau makini na waheshima sana wa JF 🐒

Huwa nakukubali sana ujue, yani unajiamini na hukati tamaa kabisa among chawaz wengine na kikubwa una flexibility sana, yani chawa wengine wakikosa hoja wanatukana ila wewe ah, you are reserved and composed continuously 😛😛!
 
Amini Mungu pekeyake gentleman,
achana na hiyo ushirikina ya kuamini watu.

Lakini pia,
huna haja ya ramli kwa mwananchi kutumia uhuru na haki za kikatiba kisiasa kuamua kufanya maamuzi yake kadiri apendavyo na aonavyo inafaa. Hivyo ndio siasa ilivyo.

hii habari ya kuweka mambo moyoni na kujijengea dhana potofu ati Fulani kajimaliza kisiasa ni useless.
Kila moja afanye siasa bila kumkasirikia mwingine 🐒
 
Some stuff are too predictable chawa hamna ramli wana nature (Mungu), naheshimu maoni yako though
 
Hao wahuni wote 5 na hata huyo baba yao anayewatuma akijiunga nao kula unwabwa wa mzee Spunda hamna kitu humo. CDM ni mwendo mdundo.
 
nasafiri Africa nzima free bila kificho iweje nibabaike na fake id kwenye jukwaa hili muhimu la wadau makini na waheshima sana wa JF 🐒
Bhasi tuambie jina lako Full,
Then tuta compare wenyewe kuwa una hata unusu wa Heche au lah.
 
Jimbo la Kikwajuni
Jimbo la Kinondoni
Urais wa chuo cha usimamizi wa Fedha(IFM)
Huku kote alishindwa vibaya
Unajua Salum Mwalimu alianza siasa tangu shuleni, hiyo ilipelekea afukuzwe Shule ya sekondary Umbwe kwa kupigania haki za wanafunzi 1998/1999
 
Bhasi tuambie jina lako Full,
Then tuta compare wenyewe kuwa una hata unusu wa Heche au lah.
naitwa super hero1 a.k.a tlaatlaah mchapakazi hodari na mtumishi mahiri wa wananchi asiechoka nchini 🐒
 
Unajua Salum Mwalimu alianza siasa tangu shuleni, hiyo ilipelekea afukuzwe Shule ya sekondary Umbwe kwa kupigania haki za wanafunzi 1998/1999
Hata Ifm nasikia alisimamishwa masomo dakika za mwisho, lkn Sio kwa kupigania haki
 
Huwa nakukubali sana ujue, yani unajiamini na hukati tamaa kabisa among chawaz wengine na kikubwa una flexibility sana, yani chawa wengine wakikosa hoja wanatukana ila wewe ah, you are reserved and composed continuously 😛😛!
Mkuu mm mwenyewe siipendi Ccm na huyu jamaa simpendi just tu kwa sababu huwa anasifia maujinga ya Ccm ila ukweli huyu mwamba sijawahi kumwona akimtuka mtu yoyote. Huyu jamaa yuko vizuri pumbavur zake
 
Back
Top Bottom