Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Tanzania na watanzania wa leo si wa kuambiwa sera, kama ni sera CCM ina sera gani mpya tangu 2000, sera ya viwanda imeishia wapi.
 
Wewe kama unayajua mambo ya kuanzia 2015 mpaka 2020, tueleze mikataba ya kununua ndege, uwanja wa ndege Chattle, bwawa la umeme Stiegler, SGR kuna kitu gani. Maadili ya kazi yanasemaje kuhusu kumpa mkataba wa kujenga uwanja wa ndege mtu mliyeoa naye nyumba moja? Mapenzi mengine hayana maana. Tutetee sera na matendo. Tuachane na kutetea watu kama vile tunatetea timu za mpira. Timu ya mpira ndio utetetewa hata pale inapofungwa.
S

Sijaona kama nimekubishia kitu kwani mkapa aliandika kitabu mwisho mwaka gani mana mimi nazungumzia 2015 kuja 2020..
 
,-,Mjb-,?,"-,‐," TV Xxn
 
Unafurahi mikataba ya ujenzi wakipewa WACHINA ...acha wivu Boss cha kuzingatia ni gharama ni stahiki ... je imejengwa kwa kiwango? Mambo mengine ni umbea tu ...
 
Fanya uchunguzi na lete hewani tuwawajibishe viongozi wa taasisi hizo. Sheria zipo wazi na ulofa wa akili zao utayaponza matumbo yao.
 
Huyu jamaa mbweha kweli. So what?!! Mmeishiwa pesa mnataka nini tena. Hata viongozi wa dini wako tayari kumgharamia JPM kwa kuwa wameona nini anafanya. Sio kugharamia nyie vibaraka wa mabeberu mje kuuza nchi yetu pendwa. Tumewashtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…