kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Bilion 60 hizo ni kms kama 40 tu za barabara! Sema kingine! Haya mil 300 ruzuku za chadema kila mwezi mbona hata ofisi hamna bambav! Bambav! Hela huwa mnapeleka wapi mchwa nyie
Ccm inapokea bil 1.3 kama ruzuku kutoka serikalini kwa mwezi kwa miaka mitano? Ni zaidi ya bil 60 hapa hujaweka mchango hata wa sh mia ya mwanachama wala mapato ya ndani ... kiufupi hawana sababu ya kuchota hela wanayo ya kutosha kampeni za miezi mitatu