Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Dalili ya chadema kuishiwa!

Ni vizuri kama ataweka ushahidi, lakini bila hata ushahidi hiyo tabia ya ccm kuchota pesa za umma ni tabia yao toka mfumo wa vyama vingi viingie hapa nchini. Bora hata hao marais wengine hawakuwa wanajifanya wazalendo, na wala hawakuzia vyama vingine kupata misaada toka kwa vyama rafiki.

Hii ndio maana ccm wako tayari damu imwagike kuliko watoke madarakani maana wanajua wote wataishia jela. Kisha utegemee watu wanaochota pesa za umma hivyo wakubali tume huru ya uchaguzi na matokeo halali kutangazwa?
 
Lissu anawapoteza sana babadhi UA watanzania ,kampeni zikiisha Lissu anakimbia zake kwa mabeberu wake ,huyu hana pa kwenda eti naye kamwamini lissu kuwa mwaka huu lazima wachukue dola

CHADEMA wanapoteza muda wao kwa kuamini kuamini kuwa wanaweza itoa CCM madarakani,hizi ni ndoto za mchana kweupe,
Umeiona barua ya Congress.
 
Emdeleeni kuwaita mabeberu kuna siku watawanyosha na wameshaanza kutengeneza njia.
Hawawezi tuko makini sana! Walimtuma msaliti Lissu tukagundua tukaepa sasa wameshaingia target tunasubiri kupress trigger tu!!
 
Alikuwa ana haraka gani ya KUROPOKA kabla hajamaliza kukusanya ushahidi? Kwani angesubiri hadi akapata ushahidi wote ndio aseme angepukiwa nini? Pumbavu!
We shenzi kabisa kama huyo ni pumbavu
 
Hawawezi tuko makini sana! Walimtuma msaliti Lissu tukagundua tukaepa sasa wameshaingia target tunasubiri kupress trigger tu!!
Resolution 1120 kama ya Iraq umeiona lkn, wanaanzaga hivyo hivyo.
 
Maskini huyu naye amenyoosha kidole tumuone alipo! Mbowe ana akili sana yupo zake na mhasibu wa chama na afisa ugavi wanarekebisha mahesabu ya matumizi ya kampeni!
Sasa mnabisha nini tuweke ushahidi?
 
Back
Top Bottom