Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ndio maana ya kauli yako ya "Mambo mazuri hayahitaji haraka?"Kwani wewe ni mmoja wawahusika,acha wanusika watajitokeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ya kauli yako ya "Mambo mazuri hayahitaji haraka?"Kwani wewe ni mmoja wawahusika,acha wanusika watajitokeza
Yaani inasikitisha! Tena, utakuta ni wasomi kabisa!Ukisoma michango ya watu kwenye hii mada lazima uamini kuna watu wanalipwa ili tu kujibu ujinga.
Una ushahidi gani kuwa mume wa mamako ndiye babako mzazi, biological father?Huna ushahidi unaropoka? Pumbavu!!!
Dalili ya chadema kuishiwa!
Siku nyingine soma mpaka ndio ukomenti.Huna ushahidi unaropoka? Pumbavu!!!
NSSF NA PPF“Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
Na Kwa nini aseme kabla hajakamilisha uchunguzi? Huo ndio upumbavu!!Una tofauti gani na huyo unayemuita mropokaji? Amekwambia akikamilisha kukusanya ushahidi ataleta. Kabla hajakamilisha UMESHAROPOKA kuwa ameropoka!!!!!!!
Hahahahaha......hata kichaa huwa hajijui kama yeye ni kichaa!!
Haujanielewa vizuri soma komenti yangu vizuriInaonekana Mbowe huko nyuma aliwafanya vibaya ,kutwa kuchwa kumtaja tu hata asipo husika.
Watanzania, tuungane kumkataa IBILISI CCM kwa nguvu zetu zote. Changamoto zote zinazoikumba nchi yetu kwa sasa, chanzo ni hawa WAHUNI, WATEKA NYARA, Kubambia watu kesi zisizo na dhamana, kutawala kwa MABAVU kwa kuitupilia mbali KATIBA YA WANANCHI, na upuuzi mwingine mwingi tu.Huna ushahidi unaropoka? Pumbavu!!!
Mungu wa Tundu Lissu ndio Mungu wa corona ndio Mungu wa Watz...... Mungu anaipenda Tanzania kupitia kwa Tundu Lissu hili la corona limefata baadaeWaliomaliza Corona ni kina nani?
Tuwakatae wasaliti na vibaraka wa mabeberu Chadema!Watanzania, tuungane kumkataa IBILISI CCM kwa nguvu zetu zote. Changamoto zote zinazoikumba nchi yetu kwa sasa, chanzo ni hawa WAHUNI, WATEKA NYARA, Kubambia watu kesi zisizo na dhamana, kutawala kwa MABAVU kwa kuitupilia mbali KATIBA YA WANANCHI, na upuuzi mwingine mwingi tu.
Inasikitisha sana Mkuu, yaani hizi elfu saba saba za polepole zimesababisha Vijana WAMEFYATUKA AKILI kabisa. So sad.Ukisoma michango ya watu kwenye hii mada lazima uamini kuna watu wanalipwa ili tu kujibu ujinga.
Tunazingatia Sheria kandamizi ya takwimuNa Kwa nini aseme kabla hajakamilisha uchunguzi? Huo ndio upumbavu!!
Mmefikia wapi sasa?Tunazingatia Sheria kandamizi ya takwimu
Tunazingatia zote kandamizi ikiwa ni pamoja naile ya habari na mawasiliano.Mmefikia wapi sasa?
Kupita hii tunayotukana na kutukanana?Tunazingatia zote kandamizi ikiwa ni pamoja naile ya habari na mawasiliano.
Tajiri, ndio maana wahenga walisema Mungu si Athumani. Yaani angetuachia mamlaka yake kwa dakika tu tungetandikana sana.Laana ya Mungu ikutandike wewe na kizazi chako chote , Amina