Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
“Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
1600442081632.png

 
Sasa na hiyo ni sera ya chama au? Chadema wamekuwaje jamani?waswahili wanasema ukikosa hela ukiitwa bar kila mwanaume mwenzako unamwita kiongozi ili akununulie bia ha ha chadema kuweni wanaume leteni sera bambav
Magufuli anaposema uliposimama umekanyaga mkono ndio sera ya CCM.
 
Alikuwa ana haraka gani ya KUROPOKA kabla hajamaliza kukusanya ushahidi? Kwani angesubiri hadi akapata ushahidi wote ndio aseme angepukiwa nini? Pumbavu!
Huwezi kumpangia mtu afanye kitu utakavyo wewe!! Amedokeza tu kuwa linasemwa hilo. Kama ni uongo, hakuna madhara. Kama ni kweli, ameahidi kuleta ushahidi. Mbona limekuchoma hivyo?!! Hahahaha.........siasa huziwezi ndugu. Huna ngozi ngumu imstahilivyo mwanasiasa!!!!
 
Back
Top Bottom