Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Umeisoma Taarifa na kuielewa kweli Mkuu ,au umesombwa na unazi kama bi Mwantum wa Uswaz !!?
Ngoja niwasiliane na Askofu Gwajima awakumbushe kuhusu Ni. Kidude. Na safari hii msikasilike. Ahahahahahahah!
 
Huwezi kumpangia mtu afanye kitu utakavyo wewe!! Amedokeza tu kuwa linasemwa hilo. Kama ni uongo, hakuna madhara. Kama ni kweli, ameahidi kuleta ushahidi. Mbona limekuchoma hivyo?!! Hahahaha.........siasa huziwezi ndugu. Huna ngozi ngumu imstahilivyo mwanasiasa!!!!
Akiuweka hadharani huo ushahidi ni tag!
 
Sasa na hiyo ni sera ya chama au? Chadema wamekuwaje jamani?waswahili wanasema ukikosa hela ukiitwa bar kila mwanaume mwenzako unamwita kiongozi ili akununulie bia ha ha chadema kuweni wanaume leteni sera bambav

CHADEMA wanafanya vyote, wanatoa sera pamoja na kuuanika upuuzi wa CCM
 
Maskini huyu naye amenyoosha kidole tumuone alipo! Mbowe ana akili sana yupo zake na mhasibu wa chama na afisa ugavi wanarekebisha mahesabu ya matumizi ya kampeni!
Mbowe amekula hadi michango ya hela za Corona na ile ya maafa ya tetemeko Kagera
 
Polepole na Bashiru wamewatuma waje kujibu hoja humu na hizo account wanazijua, hivyo wanacho fanya ni kuangalia account yako leo umeitetea ccm mara ngapi ndio unapewa buku saba yako.
Mkuu siwezi kubisha kama ni hivi.
 
Back
Top Bottom