Salum Mwalimu: Uchaguzi ndani ya Chama umekaribia kila mtu mwenye Uwezo achukue fomu kugombea Nafasi yoyote

Salum Mwalimu: Uchaguzi ndani ya Chama umekaribia kila mtu mwenye Uwezo achukue fomu kugombea Nafasi yoyote

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu amewataka Wanachama wa CHADEMA wenye Uwezo, Nia na Karama ya Uongozi asisite kuchukua Fomu na kugombea Nafasi yoyote.

Mwalimu alikuwa anaendesha Seminar ya Chama huko Pemba.

Kumekucha!
 
Natamani Mbowe aheshimu kauli yake ya kuachia uenyekiti.
Amefanya alichoweza, awapishe wengine.
Kitendo oooh sijui wazee wamemuomba agombee kisiwepo awamu hii.
Hapana...

Mbowe amepambana sana - kwa mali, damu na jasho....

Aendelee mpaka chama kitakapoingia madarakani ndiyo apumzike sasa awaachie akina Heche....

Legacy!
 
Hapana...

Mbowe amepambana sana - kwa mali, damu na jasho....

Aendelee mpaka chama kitakapoingia madarakani ndiyo apumzike sasa awaachie akina Heche....

Legacy!
Apime alama za nyakati.
Kadri siku zinavyosonga anakosa Mvuto.
Hata Nyerere alijiweka kando vinginevyo angemaliza vibaya mnoo.

Vinginevyo umeongea kwa mzaha😅
 
Apime alama za nyakati.
Kadri siku zinavyosonga anakosa Mvuto.
Hata Nyerere alijiweka kando vinginevyo angemaliza vibaya mnoo.

Vinginevyo umeongea kwa mzaha😅
Kweli kabisa Mbowe amefanya mengi ambayo ni kweli, lakini tunahitaji sura mpya otakayokuja na movement mpya.
 
Akilzimisha wakati huu, nitamkataa peupe na kujiweka pembeni kwenye mambo ya chama mpaka atakapo ondoka. Maana it is too much.
Ukweli ni kwamba alifanya vizuri, aliandaa vijana, alileta hamasa kubwa...ni mwalimu mzuri lakini wakati umefika kupisha mawazo mapya.

Hata chakula kizuri hakiliwi kila siku
 
Back
Top Bottom