Salum Mwalimu: Uchaguzi ndani ya Chama umekaribia kila mtu mwenye Uwezo achukue fomu kugombea Nafasi yoyote

Salum Mwalimu: Uchaguzi ndani ya Chama umekaribia kila mtu mwenye Uwezo achukue fomu kugombea Nafasi yoyote

Na Wana CHADEMA Digital Je? Wakagombee na mitusi yao, ila wajue hawachaguliki.
 
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu amewataka Wanachama wa CHADEMA wenye Uwezo, Nia na Karama ya Uongozi asisite kuchukua Fomu na kugombea Nafasi yoyote.

Mwalimu alikuwa anaendesha Seminar ya Chama huko Pemba.

Kumekucha!
tutembee kifua mberee
 
Kumechaaaaaa
 
Chadema siyo ukoo bwashee

Waasisi wa Chadema ni Tuntemeke Sanga, Ngaiza, Bob Makani, Ndesamburo, Mtei na Mwakitwange
Acha ujuaji wenyeviti wa CDM tangu mwanzo ni ukoo mmoja ,Kam si mwanaukoo huwezi pata uwenyekiti hata uhonge
 
Nitaenda Ufipa nikashuhudie na kuijaza mwenyewe. yaani Wanipe nijaze ya Uenyekiti wa Digital....kwani waliopo wamejaa matusi ya makalio tu, hawafai.
 
Back
Top Bottom