Salumu mbonde ajitia kitanzi simba

Angesajiliwa vyura angekuwa ni mwepesi. Uvuvi wa Ajibu hamjauona kisa amehamia bondeni?!
Asingeweza kusajiliwa Kwa Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania...

Tuliona uwezo wake, tukaamua kubeba Andrew Vincent.
 
Ni beki mzuri sana wa Kati ni mrefu na anaweza kucheza mipira ya juu na chini na

Wazambia walikuwa wanaruka free header wakati huo huo Mbonde akiwa kwa pembeni....[emoji23][emoji23]
 
Kama unajua mpira vzr mechi ya Zambia tatizo lilikuwa viungo walishindwa kukaa na mipira na kuchezesha timu matokeo defense ilizidiwa

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Mkuu! Ile game niliiangalia kwa macho yangu.....

Mipira ya juu yote mbonde hakucheza hata mmoja...
 
Miaka mingapi? Tulia uandike habari taratibu. Huyu atakua mbadala wa Banda. Toa jembe ingiza jembe mtakoma safari hii

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Mkuu sajili zetu za bongo unazijua ni za miaka miwili

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wazambia walikuwa wanaruka free header wakati huo huo Mbonde akiwa kwa pembeni....[emoji23][emoji23]
Kuna goli lolote tulifungwa la kichwa? Mtu anaweza kuruka kichwa lakini ukimwangalia alivoji position sio lazima kuruka nae

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo ilizidiwa defensi au viungo mbona hueleweki
Kama unajua mpira vzr mechi ya Zambia tatizo lilikuwa viungo walishindwa kukaa na mipira na kuchezesha timu matokeo defense ilizidiwa

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Mkuu! Ile game niliiangalia kwa macho yangu.....

Mipira ya juu yote mbonde hakucheza hata mmoja...
Kuna goli lilifungwa la mpira wa juu??

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Na wanae huyo Ajibu.. Ni mvivu wa mazoezi kinoma
Nikikumbuka zile free kick 2 dhidi ya Mbeya city ...then uniambie Ajibu ni mvivu, nashindw kukusoma kabisa...

Ajibu amejaa talent...talented players don't show hard-working attitude.

Usjie niambia Mbonde ana Kipaji...[emoji23][emoji23]
 
Kama unajua mpira vzr mechi ya Zambia tatizo lilikuwa viungo walishindwa kukaa na mipira na kuchezesha timu matokeo defense ilizidiwa

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
hivi free header ni kazi ya mido

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ofisi utadhani kibanda cha kuuzia vocha ndio Simba HQ?
Hata kibanda cha vocha kina nafuu! Hizi timu kubwa za bongo ni balaa! Ila timu yangu ya utotoni wanaionea sana! Kila msimu lazima waende wakachukue watu!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo ilizidiwa defensi au viungo mbona hueleweki
Probably umeathirika na vyeti feki midfield ilishindwa ku hold mipira na ku distribute matokeo midfield ya Zambia ili possess zaidi na kuzidisha mashambulizi langoni mwetu so ukitumia logic utakugundua both defense na midfield walizidiwa ila defense ilielemewa kutokana na uzembe wa midfield

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Mbona Kichuyaaaaa amekutoboa mita 45 je na yeye ni Mzambia?
Mkuu.

Naona unapata shida kutofautisha "Uwezo" na "Ngekewa"....

Tafuta Kamusi ya TUKI karibu yako hapo ili uongezepo maarifa.[emoji23]
 
hivi free header ni kazi ya mido

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Unajua kuna midfield mbili? Holding na attacking?

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Hata kibanda cha vocha kina nafuu! Hizi timu kubwa za bongo ni balaa! Ila timu yangu ya utotoni wanaionea sana! Kila msimu lazima waende wakachukue watu!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Aliyekuambia hapo ni ofisi za Simba ni nani? Acha kiherehere mwanaume

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…