Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Na wanae huyo Ajibu.. Ni mvivu wa mazoezi kinomaAngesajiliwa vyura angekuwa ni mwepesi. Uvuvi wa Ajibu hamjauona kisa amehamia bondeni?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanae huyo Ajibu.. Ni mvivu wa mazoezi kinomaAngesajiliwa vyura angekuwa ni mwepesi. Uvuvi wa Ajibu hamjauona kisa amehamia bondeni?!
Mbona Kichuyaaaaa amekutoboa mita 45 je na yeye ni Mzambia?Si ndio huyu aliyekuwa anaruhusu waZambia waruke free header?
Mkuu ukiwakumbushia Kichuya wanaanza matusi sasa hvMbona Kichuyaaaaa amekutoboa mita 45 je na yeye ni Mzambia?
Asingeweza kusajiliwa Kwa Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania...Angesajiliwa vyura angekuwa ni mwepesi. Uvuvi wa Ajibu hamjauona kisa amehamia bondeni?!
hakika mkuu huyu ni jipuSi ndio huyu aliyekuwa anaruhusu waZambia waruke free header?
Ni beki mzuri sana wa Kati ni mrefu na anaweza kucheza mipira ya juu na chini na
Mkuu! Ile game niliiangalia kwa macho yangu.....Kama unajua mpira vzr mechi ya Zambia tatizo lilikuwa viungo walishindwa kukaa na mipira na kuchezesha timu matokeo defense ilizidiwa
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Mkuu sajili zetu za bongo unazijua ni za miaka miwiliMiaka mingapi? Tulia uandike habari taratibu. Huyu atakua mbadala wa Banda. Toa jembe ingiza jembe mtakoma safari hii
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Kuna goli lolote tulifungwa la kichwa? Mtu anaweza kuruka kichwa lakini ukimwangalia alivoji position sio lazima kuruka naeWazambia walikuwa wanaruka free header wakati huo huo Mbonde akiwa kwa pembeni....[emoji23][emoji23]
Kama unajua mpira vzr mechi ya Zambia tatizo lilikuwa viungo walishindwa kukaa na mipira na kuchezesha timu matokeo defense ilizidiwa
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Kuna goli lilifungwa la mpira wa juu??Mkuu! Ile game niliiangalia kwa macho yangu.....
Mipira ya juu yote mbonde hakucheza hata mmoja...
Nikikumbuka zile free kick 2 dhidi ya Mbeya city ...then uniambie Ajibu ni mvivu, nashindw kukusoma kabisa...Na wanae huyo Ajibu.. Ni mvivu wa mazoezi kinoma
hivi free header ni kazi ya midoKama unajua mpira vzr mechi ya Zambia tatizo lilikuwa viungo walishindwa kukaa na mipira na kuchezesha timu matokeo defense ilizidiwa
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hata kibanda cha vocha kina nafuu! Hizi timu kubwa za bongo ni balaa! Ila timu yangu ya utotoni wanaionea sana! Kila msimu lazima waende wakachukue watu!Hiyo ofisi utadhani kibanda cha kuuzia vocha ndio Simba HQ?
Probably umeathirika na vyeti feki midfield ilishindwa ku hold mipira na ku distribute matokeo midfield ya Zambia ili possess zaidi na kuzidisha mashambulizi langoni mwetu so ukitumia logic utakugundua both defense na midfield walizidiwa ila defense ilielemewa kutokana na uzembe wa midfieldkwahiyo ilizidiwa defensi au viungo mbona hueleweki
Mkuu.Mbona Kichuyaaaaa amekutoboa mita 45 je na yeye ni Mzambia?
Unajua kuna midfield mbili? Holding na attacking?hivi free header ni kazi ya mido
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Aliyekuambia hapo ni ofisi za Simba ni nani? Acha kiherehere mwanaumeHata kibanda cha vocha kina nafuu! Hizi timu kubwa za bongo ni balaa! Ila timu yangu ya utotoni wanaionea sana! Kila msimu lazima waende wakachukue watu!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app