Salumu mbonde ajitia kitanzi simba

Safi sana nyie semeni utumbo wenu wa fini, Mbonde zaidi ya beki
 
Unajua kuna midfield mbili? Holding na attacking?

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
kwa hiyo krosi ikipigwa holding midfielder ndio aruke kichwa au beki

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Kuna goli lilifungwa la mpira wa juu??

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
nazungumzia mipira yote hatarishi iliyopigwa kwa njia ya Cross!

Ukiondoa uzembe wa waZambia kupeleka nje ya goli zile header ilikuwa ni habari ya mabao 5 mpaka 6.
 
Aliyekuambia hapo ni ofisi za Simba ni nani? Acha kiherehere mwanaume

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hata kama sio ofisi za simba wangetafuta sehemu yenye hadhi kidogo! Duu hiyo chochoro sijui ya wapi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
kwa hiyo krosi ikipigwa holding midfielder ndio aruke kichwa au beki

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Defense yote inatakiwa Ifanye marking cjui kwa nini unamlenga Mbonde peke yake kana kwamba yeye Ndio the only defender? Au kwa kuwa kasajili Simba? Acha ushabiki wa kizamani

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
sasa mbona unabadili maelezo mkuu,unafikiri vyeti vinahusiana na mpira ? hauko sawa
 
nazungumzia mipira yote hatarishi iliyopigwa kwa njia ya Cross!

Ukiondoa uzembe wa waZambia kupeleka nje ya goli zile header ilikuwa ni habari ya mabao 5 mpaka 6.
Na zote alitakiwa acheze Mbonde maana alikuwa Ndio the only defender? Kwa nn hulaumu full backs walioruhusu hizo cross?

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Hata kama sio ofisi za simba wangetafuta sehemu yenye hadhi kidogo! Duu hiyo chochoro sijui ya wapi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Waagizie chumba chako siku ingine waje kusainishia hapo

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
sasa mbona unabadili maelezo mkuu,unafikiri vyeti vinahusiana na mpira ? hauko sawa
Ukiwa huna vyeti uelewa wako mdogo pia

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Na zote alitakiwa acheze Mbonde maana alikuwa Ndio the only defender? Kwa nn hulaumu full backs walioruhusu hizo cross?

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Sasa kama Fullback wamefanya kosa inakuwaje yeye kama Mlinzi wa mwisho na wa kati anashindwa kusahihisha makosa hayo kwa kucheza headers?
 
Alisahihisha mengi sana ila kwa kuwa Una donge baada ya yeye kujiunga Simba huwezi kuona umegeuka chongo

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Hujielewi..!
Naona umeshindwa kupata tofauti ya "Uwezo" na "Ngekewa".[emoji23]

Haya basi, wazingatie Msuva na Kichura upate kufahamu maana halisi ya " Uwezo" & "Ngekewa"....

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Alisahihisha mengi sana ila kwa kuwa Una donge baada ya yeye kujiunga Simba huwezi kuona umegeuka chongo

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Unamaanisha alisahihisha makosa mengi ila ilipofika muda wa kucheza Headers akaona sasa apumzike kucheza hizo headers ili wengine wamsaidie?
 
Air duel Ali win nyingi sana ila kwa kuwa amesaini Simba tufanye hivi hakuweza kuzuia free headers na Kama uliangalia mpira Zambia walicheza karibu 90% mipira ya chini hizo free headers labda uliziona wewe

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…